Siku ya 11 leo kipimo kinaonesha ana ujauzito

Now or Never

Member
Joined
May 20, 2022
Posts
45
Reaction score
110
Habari jf?

Naomba tushee mawazo kuhusu hili suala.

Nimekutana kimwili na huyu binti toka tarehe 1 August, 2022 bila kutumia kinga.

Leo hii nimejaribu kumpima UPT bila yeye kujua maana alikua anachukua urine test kwenye masuala mengine.

Je, inawezekana mimba kuonekana kwenye rada kwa muda mchache hivi?😅😅😅

Nimefurahi ndio ila nimehisi vingine.

 
Tena huwa kinaonekana hakijakolea hivyo hivyooo...!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hongeraa mzewe
 
Peak ya b-hCG inaonekana kuanzia siku ya 9-12.. so yeah! Chuma ndani hiyo mkuu. Hongeraa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…