Jana Ulirudi Usiku
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 2,360
- 2,269
Natimiza 0.10 months sjapiga punyeto. Hakika nastahili kujipongeza kwa hili. Si kawaida na haijawahi tokea! Hapa najizuia kutokula vyakula vya mafuta kwa wingi. Nakula diet ya majani ya maboga ya kukaushwa juani yaliyopikwa kwa karanga, china iliyochemshwa chuku chuku kidogo sana. Ugali kidogo sana hasa dona, maji kiasi, matunda na mchanganyiko wa kachumbari.
Sijaangalia porn mpaka muda huu, nafikiria jioni leo niende maeneo.! Ninachoweza kusema ni NoFap Challenge imenisaidia sana na naona matokeo chanya.
Wote tuseme NoFap!
Kwa pamoja tuitokomeze punyeto!
Sijaangalia porn mpaka muda huu, nafikiria jioni leo niende maeneo.! Ninachoweza kusema ni NoFap Challenge imenisaidia sana na naona matokeo chanya.
Wote tuseme NoFap!
Kwa pamoja tuitokomeze punyeto!