Siku ya 3 leo sijapiga punyeto. Alhamdullilah

Siku ya 3 leo sijapiga punyeto. Alhamdullilah

Na nyeto Hii hii ninao watoto 4 .

Je yapo majaribio yeyote ya kisayansi yanayothibitisha unalolisema hapa?
Humu tunatumia fake ID's, kuwa tu mkweli. Ukipiga nyeto unakuwa huna hamu ya kuendelea bao la 2, itakuchukua muda mrefu sana. Pia unapoteza hisia kwa wanawake kwani porn zitakuwa zinakudanganya.
 
Humu tunatumia fake ID's, kuwa tu mkweli. Ukipiga nyeto unakuwa huna hamu ya kuendelea bao la 2, itakuchukua muda mrefu sana. Pia unapoteza hisia kwa wanawake kwani porn zitakuwa zinakudanganya.
Mkuu bao la pili la nini?

Hii ni KWA ajili ya kuzalisha/kurutubisha apatikane kiumbe ...

Anyway Nimeandika kishabiki /kiutani utani .. Inshort nyeto siyo nzuri
 
Humu tunatumia fake ID's, kuwa tu mkweli. Ukipiga nyeto unakuwa huna hamu ya kuendelea bao la 2, itakuchukua muda mrefu sana. Pia unapoteza hisia kwa wanawake kwani porn zitakuwa zinakudanganya.
Kongole sana ,halafu punyeto inakupunguzia confidence na kujiona dhaifu sana yaani ukipiga kimoja tu akili zinarudi na kuanza kujilaamu kwa raha za sekunde chache tu unabaki na majuto moyoni.
 
Natimiza 0.10 months sjapiga punyeto. Hakika nastahili kujipongeza kwa hili. Si kawaida na haijawahi tokea! Hapa najizuia kutokula vyakula vya mafuta kwa wingi. Nakula diet ya majani ya maboga ya kukaushwa juani yaliyopikwa kwa karanga, china iliyochemshwa chuku chuku kidogo sana. Ugali kidogo sana hasa dona, maji kiasi, matunda na mchanganyiko wa kachumbari.

Sijaangalia porn mpaka muda huu, nafikiria jioni leo niende maeneo.! Ninachoweza kusema ni NoFap Challenge imenisaidia sana na naona matokeo chanya.
Wote tuseme NoFap!

Kwa pamoja tuitokomeze punyeto!
Kiongozi wewe umepumzika tu hauna muda mrefu utajichukulia sheria mkononi. 🤣🤣🤣

Mark my words
 
Back
Top Bottom