Jana Ulirudi Usiku
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 2,360
- 2,269
Amin amin nakuambia. Ukikodoa macho yako kuangalia kwa kutamani tukunyema za pisikali hakika nyeto itakuwa pona yakoNatimiza miezi 0.10 sijapiga punyeto. Hakika nastahili kujipongeza kwa hili. Si kawaida na haijawahi tokea! Hapa najizuia kutokula vyakula vya mafuta kwa wingi. Nakula diet ya majani ya maboga ya kukaushwa juani yaliyopikwa kwa karanga, china iliyochemshwa chuku chuku kidogo sana. Ugali kidogo sana hasa dona, maji kiasi, matunda na mchanganyiko wa kachumbari.
Sijaangalia porn mpaka muda huu, nafikiria jioni leo niende maeneo.! Ninachoweza kusema ni NoFap Challenge imenisaidia sana na naona matokeo chanya.
Wote tuseme NoFap!
Kwa pamoja tuitokomeze punyeto!
Tukunyema ukiwa una maana gani?Amin amin nakuambia. Ukikodoa macho yako kuangalia kwa kutamani tukunyema za pisikali hakika nyeto itakuwa pona yako
WowowoTukunyema ukiwa una maana gani?
Tukunyema najua ni kibonge, sasa hiyo ya wowowo naisikia kwakoWowowo
Kumbe umebalehe juzi bana. Aah ndo maana yeto ilikupindua akili
Hongera kwa kufahamu leoTukunyema najua ni kibonge, sasa hiyo ya wowowo naisikia kwako
Kabisa, mwanzo ni mgumu siku zote.daaah ndo kwanza namaliza siku moja...... tujipe challange mkuuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa nini nitadhoofika?Punyeto inatokea akilini sio hivo vyakula utadhoofika mwili bure.
Acha nyeto, utakuwa mgumba.Nyeto na iheshimiwe.
One man down .. one man down I repeat man down ..
Alpha one We are losing visual contact...
We need immediate evac ASAP
Acha nyeto, utakuwa mgumba.