min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Mama mama mama mama ni mama🤗Kazi kuwa kupe lakini huduma duni, wamenikwaza😩😩
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama mama mama mama ni mama🤗Kazi kuwa kupe lakini huduma duni, wamenikwaza😩😩
🤣🤣 sasa kila mtu akifika Dodoma si ndio itakuwa hatari, juzi tu niliona kero ya hukoHamieni Dodoma hakuna shida maji naoga ya shower safi
Imagine, miaka 60 bado changamoto ni zile zile, kama tumedumaaDar kuichagua ccm nitawashangaa sana.
Miaka 60 ya uhuru Jiji halina maji????
Kwani kuna watu hawastahili kukaa Mbezi Mkuu?Tatizo mbezi imekua ya kila mtu tofauti na zamani wakati afande anaimba'kuna tofauti gani Kati ya temeke na mbezi..'yaani kuna hadi mbezi matembele ya pili, really!?
Dontii rani,,,, khai🤣Lord have mercy "operass".
Mkuu niache embu bana😹😹Mama mama mama mama ni mama🤗
Mbezi imekua ya kiswazi,miguu ya kuku,magenge ya ndimu,mkaaKwani kuna watu hawastahili kukaa Mbezi Mkuu?
Mkoa gani huo Mkuu?🌚Huku mikoani nguruwe wana swimming pool🤣
MwanzaMkoa gani huo Mkuu?🌚
Shangaa wewe, unanunua maji na bado bili inakuja vile vile, afu waziri wakifika hitilafu na changamoto zote zinayeyuka🤦♂️🤦♂️ kuna kitu kinafanywa hapa, na anayecheza mchezo huo atakuwa na nguvu za kutosha mpaka anajiamini hiviWizara ya Maji Hawajui umuhimu wa wananchi kupata maji, DAWASA wanachojua ni kuzunguka mitaani na bajaji ila wananchokifanya hakijulikani maana maji hakuna mitaani, Malamba Mawili Msikiti maji hakuna Miezi miwili sasa mkiwauliza DAWASA wanajibu tatizo limepokelewa ila majibu ya utatuzi hakuna.
Walikuwa wanandai hayapandi sijui kipenyo cha bomba kidogo ila Siku Waziri Aweso anakuja Ubongo maji yalitoka sijui yalipandaje?
Huenda wanamiliki yale magari ya kuuza maji hivyo wanafanya makusudi ili wauze maji, yaani miezi miwili bila maji na mnadai bili bila huruma tununue maji kwa 20000 kwa lita 1000 halafu tuwalipe na nyie kwa kutuwekea bomba lisilotoa maji.
Wizara ya Maji mnafeli sana hamfai kabisa nawaambia mnazingua sana mbona kwenu yanatoka? Kwa nini msijikatie na kwenu wizarani hapo ili muone raha ya kukosa maji inavyofanana, mnakera sana yaani.
juzi tu niliona kero ya huko
Nakuuliza tena, kuna watu hawastahili kukaa Mbezi?Mbezi imekua ya kiswazi,miguu ya kuku,magenge ya ndimu,mkaa
Mkuu umetuamulia na vijembe leo😹🤣🤣Mama ni mama
View attachment 3140271