Hawa jamaa inabidi wapumzishwe kilazima ,si niliona Zungu yupo site na magari wanachimba visima au ilikuwa FUTUHI? Huyo Aweso si juzi tu alisema maji yamejaa Ruvu kwahiyo DAWASA wasitishe mgao ,inakuwaje tena MGAO umerudi halafu mvua moro ni za kutosha? Au wanapotezea Movie la KIHINDI la Wakatoliki wa MCHANGE?