Siku ya Baba Duniani: Kwanini katika familia nyingi akina baba hutangulia kufariki?

Sasa hao wake zao walio Baki mbona wameiashi miaka mingi kuliko wamme zao walikufa. Kama inshu wanaume wanaoa Wana wake wadogo?
 
Sababu ziko nyingi sana wadau wameelezea.

Mwanaume katu sio mwepesi wakusema yanayo msibu moyoni au kumgasi kichwani. Unajua nisumu kias gan hujiunda na kuhatarisha maisha yake (kufa na tai shingoni)

Mwanaume kila kitu anatoa ila kupokea nikudogo so mwanaume nikama pipi anamumunywa mpaka aishe.
Pesa anatoa ampe mke wake nakutimiza mahitaji muhim yakifamilia.

Hapo hapo analundo la wategemez nyuma yake. Wazazi, ndugu, jamaa, marafiki, walio mpushi hata kidogo kwenye maisha wataitaj kitu kutoka kwake pasina kujalisha msaada wao wakati huo ulizaa matunda au la! (Pipi huisha kwa kumumunywa sana)

Anawanawake lundo wanao mtegenea. Kazi yake nikutoa nguvu na kuunganishwa na wanawake wengi kiroho na kimwili hutumia nguvu kurizisha wengi(kitokacho huisha haraka)

Mwanaume hana mtetezi duniani ila amezaliwa kutetea je kati ya mliz na mlindwaji nan hujitoa zaidi je wakwanza atapaswa kufa nan?

Wanaume hutumia hakili nyingi kwakila jambo huku wanawake hutumia hisia pekee so hakili kwao chache mno so energy of IQ inayotumika ni nyingi kichwan mwa mwanaume.

Kuoa micharuko, wake za watu walio olea kabla hujakutana nao, kuoa madanga, wahuni, malaya, limbukeni, wasio jitambua, wasomi, wajanja. Single mother, wanachuo, wadada walio chezewa had kuharibukiwa kisaikolojia, walio umizwa sana na kubakwa kunyanyaswa kingono, wenyetamaa za mali napesa , wasiojishughulisha kwalolote, gubu wambea na visirani woooote hawa kunawanaume wameoa je watavumilia visanga. Kifo pekee ndo pumziko lao ngoja tuungoje mwisho wadunia


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama dawa ya kukwepa kifo ni kutokuwa wababa, basi acheni kuwa.
 
Weee jamaa umechemsha! Nafasi ya utawala na uongozi kapewa mme! Mme akichemsha kwishinei! Mme akifa familia itaendeshwa kwa neema na fadhila za Mungu. Hakuna hayo mambo ya kwamba mme akifa mke anakuwa kichwa. Mme akifa Yesu (Mungu) ndo anakuwa kichwa na mke kuwa "mjane". Ndo maana Mungu anaitwa "mume wa wajane". Aliyefanyakosa wa kwanza la kula tunda bustani ya Eden alikuwa mwanamke lakini tendo hilo halikuhesabiwa kuwa dhambi mpaka Adam alipokula. Vile vile wakati Mungu anatoa maagizo ya kutokula tunda la mema na mabaya, mwanamke (Hawa) alikuwa hajaumbwa ndo maana kula kwake au kutokula kulikuwa hakumaanishi chochote mpaka Adam alipokula. Nakubaliana na wewe katika kipengere cha wanaume kulalamika kuhusu kuporomoka kimaadili na utii wa wanawake kwa wanaume ambapo kimsingi ni mwanaume!
 
Nimeumizwa sana na hii mada!

Wanaume hatupendwi na jamii ,Bali tunahitajika tukishatatua kero zao au hofu zao hawatutaki Tena kama Greda linalotengeneza Barabara!

Sio mke wala watoto ukishamaliza KAZI ya kutengeza makazi,vitega uchumi na kusomesha watoto kazi imeisha unabaki alone huna ishu Wala hakuna anaekutaka tena,wanakuacha ufe kwa sonona na upweke!!!

Sababu kuu 3.

1.kijamii:-mtatuzi mkuu wa matatizo!
2.kichumi;-mfanyaji kazi ngumu na risk taker!
3.ki bayolojia:-uzazi anaendelea kushiriki mapenzi Hadi uzeeeni ili kuondoa upweke halafu anaongeza tatizo jingine la kiafya kukosa nguvu ya kupambana na maradhi!
 
Wababa kuwalala mabeki tatu oyuuuuu

Hakuna baba asiyekula mschana wa kazi nasema hakuna
 
Nilitamani iwe hivyo imekuwa kinyume!
 
Unaongea hivyo labda Kwa sbb umekaa kwenye nafasi Yako km baba
Ila Kwa ambao baba wamekua vichomi hawatakuelewa
Baba mpk unajuta Kwann ndo baba ako😥
Yaani mama ndo ahangaike na familia na baba upo hela unayo inaishia Kwa wanawake wa nje watt ndani wanahangaika na mama, unafikiri huyo mtu atakuelewa?
Kwahiyo sio wa baba wote wanafaa wengine vimeo
 
Ni sawa na kutembea km 2 hadi 3.
 
Mchango mzuri
 
Zamani ulikua unakuta baba mmoja ana watoto wanne.
Skuizi unakuta baba wanne wana mtoto mmoja....[emoji1787]labda ndio mabadiliko ya tabia ya nchi...teh[emoji12]
Hii falsafa inahitaji tafakari kidogo
 
Sasa hao wake zao walio Baki mbona wameiashi miaka mingi kuliko wamme zao walikufa. Kama inshu wanaume wanaoa Wana wake wadogo?
Hiyo ni sababu mojawapo tu, si unaona na nyingine hapo
 
Mchango mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…