Siku ya Chama kutawala jukwaa la sports

Ikitokea Simba wamepata matokeo mazuri dhidi ya Mbeya city, tutarajie mafuriko ya threads na posts za kumsifu Chama. Lkn naomba niwakumbushe, kila shabiki wa soka anamfaham Chama. Hakuna haja ya kujaza jukwaa kwa kumsifu na kumuimba. Ni hayo tu
Kwani wewe hapa umefanyaje? Kama umeleta uzi hata mechi haijachezwa hlf unawakataza wenzako wasifanye hivyo, hujioni kuwa wewe ndo mtu wa ajabu?
 
Ikitokea Simba wamepata matokeo mazuri dhidi ya Mbeya city, tutarajie mafuriko ya threads na posts za kumsifu Chama. Lkn naomba niwakumbushe, kila shabiki wa soka anamfaham Chama. Hakuna haja ya kujaza jukwaa kwa kumsifu na kumuimba. Ni hayo tu
Simba anashinda goli mbili tu leo
 
He makasiriko ya nini sasa,hutakia aongelewe hata kama amechangia hiyo furaha yao?
 
Simba wameshinda mechi bila Chama na hakukuwa na utitiri wa threads za kuwasifu walioisaidia timu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…