Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeielewa mada? Afu umeifuatilia Mbeya city ya msimu huu? Wanafanya sana makosa ya kiulinzi. Hawawezi kuizuia Simba leoEndelea kuota,Simba amfunge Mbeya City?
Kwani wewe hapa umefanyaje? Kama umeleta uzi hata mechi haijachezwa hlf unawakataza wenzako wasifanye hivyo, hujioni kuwa wewe ndo mtu wa ajabu?Ikitokea Simba wamepata matokeo mazuri dhidi ya Mbeya city, tutarajie mafuriko ya threads na posts za kumsifu Chama. Lkn naomba niwakumbushe, kila shabiki wa soka anamfaham Chama. Hakuna haja ya kujaza jukwaa kwa kumsifu na kumuimba. Ni hayo tu
Simba anashinda goli mbili tu leoIkitokea Simba wamepata matokeo mazuri dhidi ya Mbeya city, tutarajie mafuriko ya threads na posts za kumsifu Chama. Lkn naomba niwakumbushe, kila shabiki wa soka anamfaham Chama. Hakuna haja ya kujaza jukwaa kwa kumsifu na kumuimba. Ni hayo tu
Simba anashinda goli mbili tu leoIkitokea Simba wamepata matokeo mazuri dhidi ya Mbeya city, tutarajie mafuriko ya threads na posts za kumsifu Chama. Lkn naomba niwakumbushe, kila shabiki wa soka anamfaham Chama. Hakuna haja ya kujaza jukwaa kwa kumsifu na kumuimba. Ni hayo tu
Rudia kusomaKwani wewe hapa umefanyaje? Kama umeleta uzi hata mechi haijachezwa hlf unawakataza wenzako wasifanye hivyo, hujioni kuwa wewe ndo mtu wa ajabu?
AhaaSimba anashinda goli mbili tu leo
Akabidhi vipi wakati kombe lipo jangwani? au unaota?Leo simba aki draw tu achilia mbali kufungwa anakabidhi kombe jangwani.
NashangaaAkabidhi vipi wakati kombe lipo jangwani? au unaota?
Ushindi kwa Simba leo ni either 1-1 au 0-0.Simba anashinda goli mbili tu leo
Haifai kumsema MgundaNa wakifungwa thread za mgunda zitajaa humu
Simba wameshinda mechi bila Chama na hakukuwa na utitiri wa threads za kuwasifu walioisaidia timuHe makasiriko ya nini sasa,hutakia aongelewe hata kama amechangia hiyo furaha yao?
Ikishinda huku akiisaidia akichezeshwa na kusifiwa shida iko wapi kwani?Simba wameshinda mechi bila Chama na hakukuwa na utitiri wa threads za kuwasifu walioisaidia timu