Shida ni kuja kusifia holela holela kama yeye ndo wa kwanza kushinda. Na je hakuna wengine wa kuimbwa hapo Simba? Hadi keroIkishinda huku akiisaidia akichezeshwa na kusifiwa shida iko wapi kwani?
Kama Mbeya City anaweza kumfunga Simba basi hata Simba anaweza akamfunga Mbeya CityEndelea kuota, Simba amfunge Mbeya City?
Kwa hyo mtu akimsifia mchezaji aliyeikonga roho yake wewe inakuuma bloangu?Shida ni kuja kusifia holela holela kama yeye ndo wa kwanza kushinda. Na je hakuna wengine wa kuimbwa hapo Simba? Hadi kero
Mbona unachangia bila kuelewa maudhui?Kwa hyo mtu akimsifia mchezaji aliyeikonga roho yake wewe inakuuma bloangu?
Bahati yao hawajafungwaNa wakifungwa thread za mgunda zitajaa humu
TawileLeo simba aki draw tu achilia mbali kufungwa anakabidhi kombe jangwani.
Wachezaji wenu wote Ni mateja, wapelekwe sorber house kupunguza uteja otherwise no mwendo wa vipigo tu.Ikitokea Simba wamepata matokeo mazuri dhidi ya Mbeya city, tutarajie mafuriko ya threads na posts za kumsifu Chama. Lkn naomba niwakumbushe, kila shabiki wa soka anamfaham Chama. Hakuna haja ya kujaza jukwaa kwa kumsifu na kumuimba. Ni hayo tu
MmmmmhWachezaji wenu wote Ni mateja, wapelekwe sorber house kupunguza uteja otherwise no mwendo wa vipigo tu.
Umeishia darasa la ngapi bloangu?Mbona unachangia bila kuelewa maudhui?
Now I believe hukupata malezi ya wazazi wote. Au la, uliugua sana utotoniUmeishia darasa la ngapi bloangu?
Nadhani hukunielewa. Maana angu ni kwamba atakua kanyosha mikono juu kwamba sasa kombe linaenda (linarudi/linabaki) jangwani. Mbio za ubingwa haziwezi tena.Akabidhi vipi wakati kombe lipo jangwani? au unaota?
Yaaaah. Ni kawaida yake akicheza nje ya DarKiungo wetu mwenye spidi ya konokono leo alikuwa mzururaji
Ila si ndo kasababisha lile goli lao la mchongoKiungo wetu mwenye spidi ya konokono leo alikuwa mzururaji
Aloo umetabidi haswaEndelea kuota, Simba amfunge Mbeya City?
Mhhhh tabiri na bingwa wa kombe LA dunia kabisaaUshindi kwa Simba leo ni either 1-1 au 0-0.
Save hii comment for future reference ndio utajuwa kuna watu tupo mbele ya muda.
Akabidhi kivipi kwani ngada fc anashikilia kombe ganiLeo simba aki draw tu achilia mbali kufungwa anakabidhi kombe jangwani.
Ancle umughaka ndani ya kijani safi sana mkuu kbla sijajunga jf nilikuwa nasoma sana story zako nikiri ww ni mmoja wa member uliyenifutia kujinga jfMbeya City leo niko nyuma yenu,haiwezekani mfungwe leo kwenu halafu mkafungwe na Yanga Taifa,leo lazima mshinde ili mechi ya Yanga mfungwe kuleta uwiano!