Siku ya Chama kutawala jukwaa la sports

Siku ya Chama kutawala jukwaa la sports

Ikishinda huku akiisaidia akichezeshwa na kusifiwa shida iko wapi kwani?
Shida ni kuja kusifia holela holela kama yeye ndo wa kwanza kushinda. Na je hakuna wengine wa kuimbwa hapo Simba? Hadi kero
 
Shida ni kuja kusifia holela holela kama yeye ndo wa kwanza kushinda. Na je hakuna wengine wa kuimbwa hapo Simba? Hadi kero
Kwa hyo mtu akimsifia mchezaji aliyeikonga roho yake wewe inakuuma bloangu?
 
Ikitokea Simba wamepata matokeo mazuri dhidi ya Mbeya city, tutarajie mafuriko ya threads na posts za kumsifu Chama. Lkn naomba niwakumbushe, kila shabiki wa soka anamfaham Chama. Hakuna haja ya kujaza jukwaa kwa kumsifu na kumuimba. Ni hayo tu
Wachezaji wenu wote Ni mateja, wapelekwe sorber house kupunguza uteja otherwise no mwendo wa vipigo tu.
 
Mbeya City leo niko nyuma yenu,haiwezekani mfungwe leo kwenu halafu mkafungwe na Yanga Taifa,leo lazima mshinde ili mechi ya Yanga mfungwe kuleta uwiano!
Ancle umughaka ndani ya kijani safi sana mkuu kbla sijajunga jf nilikuwa nasoma sana story zako nikiri ww ni mmoja wa member uliyenifutia kujinga jf

UMUGHAKA
 
Back
Top Bottom