Siku ya Kiama

Siku ya Kiama

Raymanu KE

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2022
Posts
8,611
Reaction score
16,118
Najaribu tu ku-imagine ile siku tuko zetu mbinguni kwa Baba tumekaa tumesubiri tu kuandaliwa maziwa na asali na malaika wa Mungu afu ghafla anaingia shetani na nyaunyo mkononi na kusema" Kama uliwahi kushiriki ngono kabla ya ndoa tushuke chini haraka"[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji848][emoji848]
 
Mkuu nimesikitika sana mpaka machozi yananilenga

Hakika tutashangilia kwenye mavuno

Ila in heaven there is no beer
 
Ukute hata hakunaga dhambi ya kuzini.

Ni vile tu Dini zimeamua kutubania

[emoji23][emoji23] like tusingepewa vya kuzinia before marriage yani vingeota after marriage
 
Back
Top Bottom