Notorious thug
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 2,815
- 10,724
Ahsante..Kheri ya siku ya wakina Mama, kwa waMama wote duniani...
Ulizaa lini, wapi, na nani?Yes, mimi ni mama.
Nimezaa 2020Ulizaa lini, wapi, na nani?
Hapo yenyewe bado hujawa na uhakika kama hayo mayai unayo...
Hahahaha...
Mtoto ataweza wapi kuzaa mtoto mwenzake...Nimezaa 2020
Nilizaa na mtu
Moshi
Uhakika ninao π€£π€£π maana nina mtoto
πππππ fyuuuMtoto ataweza wapi kuzaa mtoto mwenzake...
Mtoto unaogopa kunasa mimba...
Kwa hisani ya google, au mtoto wa jirani...ππππ subiri nikutafutie picha ya mtoto wa Depal
Thank you Noto.Happy Mother's Day!!!!!!!