Fadhili Paulo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2011
- 3,211
- 993
kwa hiyo umepona?Kisukari kinatibika ikiwa kiko katika hatua za mwanzo kabisa, na dawa kuu ni kufuata masharti. Masharti ndio dawa kuu ya kisukari mimi ninacho na mara ya kwanza nilikuwa na 32.7 ikawa nikikijitahidi kushusha inafika 28 ila baada ya kuanza kufuata masharti ilishuka na kufika 11 hadi 2 ambapo ilikuwa mbaya zaidi. Ila kwa sasa nashukuru bada ya kutumia Dawa aina ya Andybete ya Kampuni ya Neptunus inakuwa 4.5 hadi 6
Kisukari kinatibika ikiwa kiko katika hatua za mwanzo kabisa, na dawa kuu ni kufuata masharti. Masharti ndio dawa kuu ya kisukari mimi ninacho na mara ya kwanza nilikuwa na 32.7 ikawa nikikijitahidi kushusha inafika 28 ila baada ya kuanza kufuata masharti ilishuka na kufika 11 hadi 2 ambapo ilikuwa mbaya zaidi. Ila kwa sasa nashukuru bada ya kutumia Dawa aina ya Andybete ya Kampuni ya Neptunus inakuwa 4.5 hadi 6
Wakuu,
Inaonekana hakuna ambaye ameshapona kisukari humu mpaka sasa. Sasa natoa offer, mtu yeyote anayesumbuliwa kisukari aniandikie katika fadhilipaulo@gmail.com tuwasiliane na tuone namna gani unaweza kuondokana na tatizo hili. Karibuni.
Aina hii ya kupeana matumaini hewa ni mbaya sana. Naamini hauna kisukari, mimi ninacho (IDDM) kwa miaka 12 sasa. Don't do this, you know better!
kwa hiyo umepona?
Mkuu, usiwe mtu wa kukata tamaa, wewe niandikie shida ipo wapi?.
SHIDA iko wapi? Unazungumzia shida ipi, a) kwamba siamini kwamba unayo dawa au b) kwamba tayari nina kisukari?