Fadhili Paulo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2011
- 3,211
- 993
Wakuu habari zenu humu ndani,
Leo ni siku ya kisukari duniani, jana wakati nikitazama kipindi cha Hot Mix cha EATV nilimsikia daktari akisema mpaka sasa hakuna dawa ya kisukari na akaongeza hata hao wa tiba mubadala bado hawawezi kuponya kisukari. Je:
1. Ni kweli kisukari hakitibiki hata kwa tiba mubadala?
2. Hakuna mtu humu jamvini amepona kisukari?.
Karibuni tujadili.