Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Yaan nikafungua fasta kupata elimuNilifikiri umetuletea na elimu ya nn, Wamakonde, Wamakua, Wazaramo, Wandengereko, Wamatumbi, Wapemba, na jamii zinazoishi mwambao, jinsi ya kujiokoa na jinsi gani serikali makini, ilivyo na mipango kabambe ya kuwanusuru endapo janga litatokea!
Everyday is Saturday............................... 😎