Siku ya kula chips mayai

Siku ya kula chips mayai

Tanzania kula mayai ni anasa kwahiyo usishangae kuandaliwa tamasha.
 
Lakini wanaume wa Dar nani kawaroga?? Wanaume wa mikoani tunakula ugali maharage nyie mnakula chips hadi mnaandaa matamasha ya kula chips mayai? Hivi hizi heshima kwenye ndoa zenu zitaletwa na ngumi? Jipangeni aisee.....watu wanahamasishana kula ugali wa dona,ugali wa muhogo...nyie mnatuletea vituko gani? Kuweni sirias aisee mnatutia aibu. Huku kwetu Mbeya chips mayai inatumika kama mboga wakati wa kula dona. [emoji51][emoji51][emoji51]nyie mnakula na mnalalia! Halafu baada ya miaka mnaanza kukimbilia kwa DR. MWAKA. Jaman acheni hizi aibu.


Am Done!
 
Wanaume wa dar kweli tatizo,
Mtaendelea kusaidiwa wake zenu hadi mkome,

Sasa hizo chipsi mayai na unaenda tako moja kwa mkeo ya pili huwezi unamlaumu nani?
 
Lakini wanaume wa Dar nani kawaroga?? Wanaume wa mikoani tunakula ugali maharage nyie mnakula chips hadi mnaandaa matamasha ya kula chips mayai? Hivi hizi heshima kwenye ndoa zenu zitaletwa na ngumi? Jipangeni aisee.....watu wanahamasishana kula ugali wa dona,ugali wa muhogo...nyie mnatuletea vituko gani? Kuweni sirias aisee mnatutia aibu. Huku kwetu Arusha chips mayai inatumika kama mboga wakati wa kula dona. nyie mnakula na mnalalia! Halafu baada ya miaka mnaanza kukimbilia kwa DR. MWAKA. Jaman acheni hizi aibu.


Am Done!
 
clouds wana mambo ya ajabu,,watufanya wanaume wa dar tuonekane ni watu wa chips mayai
 
Ni uhuru tu kufanya mambo ili mradi hamvunji sheria.....huku kwetu huwa tunasheherekea siku ya PIZZA.....siku ya kupigana na nyanya mtaani....siku ya kukimbiza CHEESE n.k n.k.
 
Kumbe ndio maana vituo vingi vya kuuza dawa za kuongeza nguvu za kiume vipo Dar. So sad wanaume wà daslam
 
Nimekula sana chips yai kipindi nipo chuo. siku hizi sitaki hata kuzisikia especially nikiwa mjamzito.
 
Back
Top Bottom