Siku ya kumwapisha Rais Je kanisa litapeleka askofu kumuombea Rais aliyepatikana isivyo haki?

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
17,047
Reaction score
63,206
Mababa Askofu wamewaongoza waumini kusali Novena. Kumuomba Mwenyezi Mungu ajaalie amani na haki katika uchaguzi. Lakini Jambo Moja naomba kuwauliza mababa Askofu. Je

1. Uchaguzi wa October utakuwa wa haki?- Ifahimike kuwa uchaguzi ni mchakato na siyo tukio. Je mpaka hivi sasa mchakato ni wa haki?

2. Pili, Je rais atakayepatikana kwa uchaguzi huo kanisa litampa baraka zake?- Je kanisa litamtuma askofu au Padri kumuombea rais wa hivyo?. Je huko si ni kuikana Novena ambayo mababa askofu wamewaongoza waumini kuisali. Je wakifanya hivi watakuwa ni wakweli mbele za Mungu?.

Ushauri wangu.

Mababa Askofu, Novena yenu imesaidia kulipa Taifa ufahamu wa ndani kabisa kuwa Kama mchakato wa uchaguzi mpaka sasa haujawa wa haki, basi inahitajika mchakato wa haki ili twende kwenye uchaguzi.

Tunaomba kanisa litoe Muongozo kuwataka Waumini Wasishiriki kile ambacho si haki!. Novena isije ikawageuka mababa askofu wenyewe!

Asante
 
Watu wa dini kwenye mambo ya serikali wasiwepo,nyegge zimewapanda wanaamini wanastahiki kwenye siasa
 
Kwa ustawi wa nchi, watapeleka mwakilishi. Lakini atajikita zaidi katika maombi, yaani kuiombea nchi na kumuombea aliyechaguliwa (ili aongoze kwa haki) bila kujali amepatikanaje, maana hiyo haitakuwa jukumu lao tena
 
Mababa Askofu wamewaongoza waumini kusali Novena. Kumuomba Mwenyezi Mungu ajaalie amani na haki katika uchaguzi. Lakini Jambo Moja naomba kuwauliza mababa Askofu. Je

1. Uchaguzi wa October utakuwa wa haki?- Ifahimike kuwa uchaguzi ni mchakato na siyo tukio. Je mpaka hivi sasa mchakato ni wa haki?

2. Pili, Je rais atakayepatikana kwa uchaguzi huo kanisa litampa baraka zake?- Je kanisa litamtuma askofu au Padri kumuombea rais wa hivyo?. Je huko si ni kuikana Novena ambayo mababa askofu wamewaongoza waumini kuisali. Je wakifanya hivi watakuwa ni wakweli mbele za Mungu?.

Ushauri wangu.

Mababa Askofu, Novena yenu imesaidia kulipa Taifa ufahamu wa ndani kabisa kuwa Kama mchakato wa uchaguzi mpaka sasa haujawa wa haki, basi inahitajika mchakato wa haki ili twende kwenye uchaguzi.

Tunaomba kanisa litoe Muongozo kuwataka Waumini Wasishiriki kile ambacho si haki!. Novena isije ikawageula mababa askofu wenyewe!

Asante
Swali kama mamlaka zinatoka kwa Mungu kwanini mamlaka hizo zisizo patikana kwa haki ziape kwa kutumia Bibilia ama Msahafu
 
Watammwagia Maji Ya Upako Ya Mshikaji Wao Mwamposa.
TEC Hawarudi Nyuma,nawaelewa Sana,elimu Zao Sio Za Kupeana.
 
Mababa Askofu wamewaongoza waumini kusali Novena. Kumuomba Mwenyezi Mungu ajaalie amani na haki katika uchaguzi. Lakini Jambo Moja naomba kuwauliza mababa Askofu. Je

1. Uchaguzi wa October utakuwa wa haki?- Ifahimike kuwa uchaguzi ni mchakato na siyo tukio. Je mpaka hivi sasa mchakato ni wa haki?

2. Pili, Je rais atakayepatikana kwa uchaguzi huo kanisa litampa baraka zake?- Je kanisa litamtuma askofu au Padri kumuombea rais wa hivyo?. Je huko si ni kuikana Novena ambayo mababa askofu wamewaongoza waumini kuisali. Je wakifanya hivi watakuwa ni wakweli mbele za Mungu?.

Ushauri wangu.

Mababa Askofu, Novena yenu imesaidia kulipa Taifa ufahamu wa ndani kabisa kuwa Kama mchakato wa uchaguzi mpaka sasa haujawa wa haki, basi inahitajika mchakato wa haki ili twende kwenye uchaguzi.

Tunaomba kanisa litoe Muongozo kuwataka Waumini Wasishiriki kile ambacho si haki!. Novena isije ikawageuka mababa askofu wenyewe!

Asante
Wasipoenda ndio itakua kuikana hiyo NOVELA kwamba mungu wao hakuipokea sala yao.
 
Malasusa yupo usihofu.
 
Ulikuwa mbele ya muda kuuliza hili. Kanisa halikutuma askofu bali padri ambaye naye kimahususi alifanya tu kuombea marehemu
 
Back
Top Bottom