Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
"Nyege"???Watu wa dini kwenye mambo ya serikali wasiwepo,nyegge zimewapanda wanaamini wanastahiki kwenye siasa
Swali kama mamlaka zinatoka kwa Mungu kwanini mamlaka hizo zisizo patikana kwa haki ziape kwa kutumia Bibilia ama MsahafuMababa Askofu wamewaongoza waumini kusali Novena. Kumuomba Mwenyezi Mungu ajaalie amani na haki katika uchaguzi. Lakini Jambo Moja naomba kuwauliza mababa Askofu. Je
1. Uchaguzi wa October utakuwa wa haki?- Ifahimike kuwa uchaguzi ni mchakato na siyo tukio. Je mpaka hivi sasa mchakato ni wa haki?
2. Pili, Je rais atakayepatikana kwa uchaguzi huo kanisa litampa baraka zake?- Je kanisa litamtuma askofu au Padri kumuombea rais wa hivyo?. Je huko si ni kuikana Novena ambayo mababa askofu wamewaongoza waumini kuisali. Je wakifanya hivi watakuwa ni wakweli mbele za Mungu?.
Ushauri wangu.
Mababa Askofu, Novena yenu imesaidia kulipa Taifa ufahamu wa ndani kabisa kuwa Kama mchakato wa uchaguzi mpaka sasa haujawa wa haki, basi inahitajika mchakato wa haki ili twende kwenye uchaguzi.
Tunaomba kanisa litoe Muongozo kuwataka Waumini Wasishiriki kile ambacho si haki!. Novena isije ikawageula mababa askofu wenyewe!
Asante
Wasipoenda ndio itakua kuikana hiyo NOVELA kwamba mungu wao hakuipokea sala yao.Mababa Askofu wamewaongoza waumini kusali Novena. Kumuomba Mwenyezi Mungu ajaalie amani na haki katika uchaguzi. Lakini Jambo Moja naomba kuwauliza mababa Askofu. Je
1. Uchaguzi wa October utakuwa wa haki?- Ifahimike kuwa uchaguzi ni mchakato na siyo tukio. Je mpaka hivi sasa mchakato ni wa haki?
2. Pili, Je rais atakayepatikana kwa uchaguzi huo kanisa litampa baraka zake?- Je kanisa litamtuma askofu au Padri kumuombea rais wa hivyo?. Je huko si ni kuikana Novena ambayo mababa askofu wamewaongoza waumini kuisali. Je wakifanya hivi watakuwa ni wakweli mbele za Mungu?.
Ushauri wangu.
Mababa Askofu, Novena yenu imesaidia kulipa Taifa ufahamu wa ndani kabisa kuwa Kama mchakato wa uchaguzi mpaka sasa haujawa wa haki, basi inahitajika mchakato wa haki ili twende kwenye uchaguzi.
Tunaomba kanisa litoe Muongozo kuwataka Waumini Wasishiriki kile ambacho si haki!. Novena isije ikawageuka mababa askofu wenyewe!
Asante
'nyege ni kunyegezana'..hukusoma I level!?.. nyegge za kisiasa wapunguze,au wavue majoho waende chaumma"Nyege"???
Maneno kama haya yanaingiaje kweny hii mada??
Unajua sometimes haihitaji maneno mengi kujua kama mtu hana akili.
Mnapenda kujipa ukubwa msiokua nao.Kanisa litoe neno moja tu Taifa lirudi ktk msitari.
Malasusa yupo usihofu.Mababa Askofu wamewaongoza waumini kusali Novena. Kumuomba Mwenyezi Mungu ajaalie amani na haki katika uchaguzi. Lakini Jambo Moja naomba kuwauliza mababa Askofu. Je
1. Uchaguzi wa October utakuwa wa haki?- Ifahimike kuwa uchaguzi ni mchakato na siyo tukio. Je mpaka hivi sasa mchakato ni wa haki?
2. Pili, Je rais atakayepatikana kwa uchaguzi huo kanisa litampa baraka zake?- Je kanisa litamtuma askofu au Padri kumuombea rais wa hivyo?. Je huko si ni kuikana Novena ambayo mababa askofu wamewaongoza waumini kuisali. Je wakifanya hivi watakuwa ni wakweli mbele za Mungu?.
Ushauri wangu.
Mababa Askofu, Novena yenu imesaidia kulipa Taifa ufahamu wa ndani kabisa kuwa Kama mchakato wa uchaguzi mpaka sasa haujawa wa haki, basi inahitajika mchakato wa haki ili twende kwenye uchaguzi.
Tunaomba kanisa litoe Muongozo kuwataka Waumini Wasishiriki kile ambacho si haki!. Novena isije ikawageuka mababa askofu wenyewe!
Asante
Ulikuwa mbele ya muda kuuliza hili. Kanisa halikutuma askofu bali padri ambaye naye kimahususi alifanya tu kuombea marehemuMababa Askofu wamewaongoza waumini kusali Novena. Kumuomba Mwenyezi Mungu ajaalie amani na haki katika uchaguzi. Lakini Jambo Moja naomba kuwauliza mababa Askofu. Je
1. Uchaguzi wa October utakuwa wa haki?- Ifahimike kuwa uchaguzi ni mchakato na siyo tukio. Je mpaka hivi sasa mchakato ni wa haki?
2. Pili, Je rais atakayepatikana kwa uchaguzi huo kanisa litampa baraka zake?- Je kanisa litamtuma askofu au Padri kumuombea rais wa hivyo?. Je huko si ni kuikana Novena ambayo mababa askofu wamewaongoza waumini kuisali. Je wakifanya hivi watakuwa ni wakweli mbele za Mungu?.
Ushauri wangu.
Mababa Askofu, Novena yenu imesaidia kulipa Taifa ufahamu wa ndani kabisa kuwa Kama mchakato wa uchaguzi mpaka sasa haujawa wa haki, basi inahitajika mchakato wa haki ili twende kwenye uchaguzi.
Tunaomba kanisa litoe Muongozo kuwataka Waumini Wasishiriki kile ambacho si haki!. Novena isije ikawageuka mababa askofu wenyewe!
Asante
Kabiiiiiiisa lo