Dkt. Gwajima D
Minister
- Nov 28, 2015
- 966
- 6,019
Wasaalam wanajukwaa wote.
Wito kwenu tuungane wote kuwatakia Wazee wetu kote nchini🇹🇿 HERI YA MAADHIMISHO ya Siku ya Kupinga Vitendo vya Ukatili dhidi ya Wazee Leo 15 Juni, 2024. Kaulimbiu "Utu, Usalama na Ustawi ni nyenzo ya kutokomeza vitendo vya ukatili dhidi ya wazee".
TUKUMBUSHANE wote kuwa, uzee na kuzeeka hakukwepeki hivyo, Wazee tuwapende na tuwaheshimu.
Pia, tukumbushane kuwa, tunapoomba Sala kwa Mwenyezi Mungu atujalie maisha marefu, hayo maisha marefu ni pamoja na kupitia umri wa uzee.... Hivyo, uzee ni baraka ya kiMungu... Tuwapende Wazee Ili nasi tukizeeka tupendwe🌹💌✍🏻
GwajimaD na familia yangu yote, tunawapenda Wazee..... Je wewe hapo na familia yako? Sema #SisiTunawapendaWazee# 💌
Kila la heri kwetu sote. 🤝