Siku ya kutahiriwa

Siku ya kutahiriwa

sijamtahiri mtoto wangu mpaka leo kwa hizi comment mbn namuonea huruma
 
Mambo ya kutahiriwa uyamwage hapa hadharani mambo gani haya?

Vitu vingine bora ukae kimya vipite tu.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Miaka yetu ilikuwa hakuna ganzi na unatahiriwa ukiwa mtu mzima na mavuz* hakuna mtu anakushika usikimbie na hakuna kulia wala kufumba macho unaambiwa kaa hapo chini toa nguo, ngaliba anakuja anaondoa gov* wazee wanakuangalia ngaliba akimaliza unapelekwa porini kuna Ka kibanda Tu sasa ya huko porini ndio huwa hatusimuliagi, na sijawahi kumwambia yeyote
Inshort hakuna demu nimegegeda asifurahi na asione utofauti maana wananiambiaga na demu wangu anakuwa rafiki angu hivyo tunapiga story

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SISI TULIOTAHIRIWA KISASA MJINI HUKU, BILA MAUMIVU, HATUKUWA NA MAMBO YA KUWEKA MAKAMBI MAPORINI KAMA NYANI, TUNACOMMENT WAPI?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jando sio kitu cha kuweka hadharani ,ni safari inayo badili maisha ya mwanaume ,hakunamadhara ya kumpeleka mtoto tohara ya kimila .Ni ulimbukeni kuacha tamaduni za mababu ,sidhani kama kuna jamii ya afrika isi yo na tohara ya kimili ...
sasa wasukuma wana tohara ya kimila?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka usiku mmoja nikiwa nimelala sebuleni maza kanitandikia godoro chini na neti nising'atwe ma mbu, nimejiachia mwenyewe nimelala nyamanyama ili kidonda kipate kaupepo flani....muda flan najigeuza si nyuzi za mshono zilijishika kweny netii...aseeee ile siku nilipiga ukungaaa siji sahau
 
Back
Top Bottom