Ferruccio Lamborghini
JF-Expert Member
- Apr 15, 2020
- 1,667
- 2,595
Leo ni siku muhimu katika historia ya Maisha yangu, ndiyo siku ambayo Mwenyezi Mungu alinileta duniani kupitia wazazi wangu Bi. Asteria Kapela na Mzee James Bukumbi (wote marehemu).
Napenda kumshurku Mungu kwa kuendelea kunipa uhai, afya, nguvu na maarifa ili kuendelea kutimiza dhumuni lake la kunileta duniani.
Ninawashukuru wazazi wangu kwa malezi yao na kujitoa kwao mpaka kufika hapa nilipo leo, ninawaombea pumziko la milele huko waliko.
Ninawashukuru familia, marafiki, wafanyakazi wenzangu, wanaBuchosa wenzangu na Watanzania wenzangu wote kwa kwa kuendelea kushirikiana katika mambo mbalimbali ya kujenga Taifa letu.
Namuomba Mungu aendelee kutupa nguvu na maarifa zaidi tuendelee kulijenga Taifa letu pendwa. Baba endelea kuiinua na kuilinda Tanzania.
AMEN!