Siku ya kwanza JF

babyfancy

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2018
Posts
2,176
Reaction score
6,187
Siku ya kwanza kuchungulia jf kabla sijajiunga niliwakuta watu mashughuri sana wawili mshana na Mrs mshana demiss nakwambia kulichangamka sasa sahivi sijui mahaba yao yaliishia wapi?
 
Tusiojua hili lilikuwepo tunasubiri comments
 
Nasubiri kujua penzi liliishia wapi.
 
Mods wapeleke huu mzigo chit chat, huku MMU sredi za msimu ni zile nyingine
Siku ya kwanza kuchungulia jf kabla sijajiunga niliwakuta watu mashughuri sana wawili mshana na Mrs mshana demiss nakwambia kulichangamka sasa sahivi sijui mahaba yao yaliishia wapi?
 
watafiti wanasema upendo wa siku hizi unavunjika haraka kuliko hata sahan za udongo...
bt sijajua kama wapo sahihi kivile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…