wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Kuna mmoja hapo alimzidi ujanja mwenzakeSiku ya kwanza kuchungulia jf kabla sijajiunga niliwakuta watu mashughuri sana wawili mshana na Mrs mshana demiss nakwambia kulichangamka sasa sahivi sijui mahaba yao yaliishia wapi?