wengine tunasikia tu kazikazi na hatuzioni!!!
nilijisikia mwenye furaha sana baada ya kusota mtaan mwaka mmoja.mwache mungu aitwe mungu.anafanya njia pasipo na njia
kufanya kaz yako raha sana....km kesho nina mpango wa kuamka saa nne kwasababu leo nimefanya kaz ya kuridhisha