wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Nikikula doso hatari pale main geti eti nilisema "shikamooni"nikapita ni ki trunker changu najifanya mtoto wa kishua( baba kantuma)..
Acha tuu niishie hapo kwa leo
Acha tuu niishie hapo kwa leo
Ebu tupe Experience yako hapo... coz wengine tunasikia tu kazi... kazi! na hatuzioni!!!