Naunga mkono HII HOJA fanya alichokushauri jamaa hutojuta mkuu na pkpk hivyo mpya utapiga ela kichiziMkuu kama upo dar kajisajili bolt hakika utaona mambo mazuri wala huna haja ya kwenda kuomba kijiwe abiria unapata online swala la kulaza 30k au 40k na kuendelea ni jambo la kawaida cha muhimu pkpk yako iwe na bima, kadi, pleti namba nyeupe, latra zamani ilikuwa inaitwa Sumatra na leseni hai ya kuendesha chombo husika then nenda ofisini kwao pale jengo la victoria place unasajiliwa bure kabisa
Yaah nipo Dar mkuu KigamboniBodaboda wana utaratibu wao na utatakiwa kulipa ada ya kiingilio...ukizingua wanakwambia tumejaa ila kwa Dar unaweza kutega mingo popote sema baadhi ya vijiwe kama hawakufahamu watakumaindi.
Baadhi ya vijiwe kuna ada ya kiingilio ya dereva na ada ya honda lako
Katege mitaa ya Mlimani City kama upo Dar pale nauli ya chini kabisa buku 2
Wazo zuri sana mkuu,, shukran sana hili nitalifanyia kazi kwa ukaribu sana🤝🤝Mkuu kama upo dar kajisajili bolt hakika utaona mambo mazuri wala huna haja ya kwenda kuomba kijiwe abiria unapata online swala la kulaza 30k au 40k na kuendelea ni jambo la kawaida cha muhimu pkpk yako iwe na bima,kadi,pleti namba nyeupe,latra zamani ilikuwa inaitwa Sumatra na leseni hai ya kuendesha chombo husika then nenda ofisini kwao pale jengo la victoria place unasajiliwa bure kabisa
Aisee, umeongea kirahisi sana tofauti na 'reality' ilivyoMkuu kama upo dar kajisajili bolt hakika utaona mambo mazuri wala huna haja ya kwenda kuomba kijiwe abiria unapata online swala la kulaza 30k au 40k na kuendelea ni jambo la kawaida cha muhimu pkpk yako iwe na bima,kadi,pleti namba nyeupe,latra zamani ilikuwa inaitwa Sumatra na leseni hai ya kuendesha chombo husika then nenda ofisini kwao pale jengo la victoria place unasajiliwa bure kabisa
Kwani reality ikoje mkuu?aisee, umeongea kirahisi sana tofauti na 'reality' ilivyo
Uhalisia upi unaotaka ww wakati mm mwenyewe nafanya mishe hiyo so naongea kitu ambacho nakielewa 100% usiwe na roho ya uchawi ya kukatisha watu tamaa wakati ktk bolt kulaza hiyo pesa ni jambo la kawaida na endelea kutembeza bahasha katika maofisi ya watu kila siku huku ukipewa tumaini hewaaisee, umeongea kirahisi sana tofauti na 'reality' ilivyo
nimekuelewa motiveshen spikaUhalisia upi unaotaka ww wakati mm mwenyewe nafanya mishe hiyo so naongea kitu ambacho nakielewa 100% usiwe na roho ya uchawi ya kukatisha watu tamaa wakati ktk bolt kulaza hiyo pesa ni jambo la kawaida na endelea kutembeza bahasha katika maofisi ya watu kila siku huku ukipewa tumaini hewa
Najaribu ku attach maingizo ya siku tano za nyuma kupitia screenshot sema nashindwa labda msaada wa maelekezo ili upate kuaminiaisee, umeongea kirahisi sana tofauti na 'reality' ilivyo
Kigamboni!Yaah nipo dar mkuu kigamboni