Yah, nami naamini hvyMungu atakubariki
Hapo ndo utajua tabia zako halisi.
Kama hutoziona wewe wataziona watu wanaokuzunguka.
Hongera baba mwenye nyumba.
Utazoea tu,Habari ndugu .
Baada ya kukuru kakara za kupanga nyumba mbalimbali hapa jijini Dar es Salaam kwa miaka 5 hatimae nikafanikiwa kujenga nyumba yangu...
Hongera. Ulihamia mchana. Bisha! 😉Habari ndugu .
Baada ya kukuru kakara za kupanga nyumba mbalimbali hapa jijini Dar es Salaam kwa miaka 5 hatimae nikafanikiwa kujenga nyumba yangu...