poleniNdio tumeishia Nusu tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sijui ilikua mwaka gani hope itakua 203 or 2004 kipindi kile kikulacho'Fagilia, za Mr nice ndio wimbo wa taifa..
Ilikua kwetu kijijini hukooo mabonde kuporomoka
Basi bamdogo akanichukua twende tukatizame trela ilikua mida ya saa 2 hivi..
Sasa mm nikaenda kukaa siti ya mbele kabisa, kidogo nikasikia muungurumo wa jenereta kisha akaja mtu kuwasha TV..
Kuna ule mwanga wa Blue hutokea unapo washa TV ukawa umemmulika yule anayewasha anaonekana wa blue..duuh acha nianze kuogopa najiuliza huyu mtu wa blue katoka wapi?
Nikatoka mbio kinoma sasa kufika mlangoni ndio ikawa kimbembe..
Nikakuta zile bulb zinawaka mlangano na ndio mara ya kwanza naona mwanga wa umeme
Wacha nianze kulia huku nasema jamani mbona nahuku mmeweka nitapita wapi?
Duugh nikawa naogopa mwanga..
Bahat wakaja watoto fulani wakawa wanacheza kwenye mwanga ndio nikapata nafasi ya kutoka.
Mbio hadi nyumbani sikuangalia TV tena. Hadi 2007.
Sitasahau hiyo siku.
Na Mra ya kwanza kupanda gari sitasahau maana nilimtia baba aibu ya karne..
[emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Sijui ilikua mwaka gani hope itakua 203 or 2004 kipindi kile kikulacho'Fagilia, za Mr nice ndio wimbo wa taifa..
Ilikua kwetu kijijini hukooo mabonde kuporomoka
Basi bamdogo akanichukua twende tukatizame trela ilikua mida ya saa 2 hivi..
Sasa mm nikaenda kukaa siti ya mbele kabisa, kidogo nikasikia muungurumo wa jenereta kisha akaja mtu kuwasha TV..
Kuna ule mwanga wa Blue hutokea unapo washa TV ukawa umemmulika yule anayewasha anaonekana wa blue..duuh acha nianze kuogopa najiuliza huyu mtu wa blue katoka wapi?
Nikatoka mbio kinoma sasa kufika mlangoni ndio ikawa kimbembe..
Nikakuta zile bulb zinawaka mlangano na ndio mara ya kwanza naona mwanga wa umeme
Wacha nianze kulia huku nasema jamani mbona nahuku mmeweka nitapita wapi?
Duugh nikawa naogopa mwanga..
Bahat wakaja watoto fulani wakawa wanacheza kwenye mwanga ndio nikapata nafasi ya kutoka.
Mbio hadi nyumbani sikuangalia TV tena. Hadi 2007.
Sitasahau hiyo siku.
Na Mra ya kwanza kupanda gari sitasahau maana nilimtia baba aibu ya karne..
Sijui ilikua mwaka gani hope itakua 203 or 2004 kipindi kile kikulacho'Fagilia, za Mr nice ndio wimbo wa taifa..

acha zako wwToto[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sijui ilikua mwaka gani hope itakua 203 or 2004 kipindi kile kikulacho'Fagilia, za Mr nice ndio wimbo wa taifa..
Ilikua kwetu kijijini hukooo mabonde kuporomoka
Basi bamdogo akanichukua twende tukatizame trela ilikua mida ya saa 2 hivi..
Sasa mm nikaenda kukaa siti ya mbele kabisa, kidogo nikasikia muungurumo wa jenereta kisha akaja mtu kuwasha TV..
Kuna ule mwanga wa Blue hutokea unapo washa TV ukawa umemmulika yule anayewasha anaonekana wa blue..duuh acha nianze kuogopa najiuliza huyu mtu wa blue katoka wapi?
Nikatoka mbio kinoma sasa kufika mlangoni ndio ikawa kimbembe..
Nikakuta zile bulb zinawaka mlangano na ndio mara ya kwanza naona mwanga wa umeme
Wacha nianze kulia huku nasema jamani mbona nahuku mmeweka nitapita wapi?
Duugh nikawa naogopa mwanga..
Bahat wakaja watoto fulani wakawa wanacheza kwenye mwanga ndio nikapata nafasi ya kutoka.
Mbio hadi nyumbani sikuangalia TV tena. Hadi 2007.
Vipi kuhusu siku ya kwanza kupanda gari [emoji23]