Siku ya kwanza kuangalia Video(television)

Siku ya kwanza kuangalia Video(television)

Daah umenikubusha mbali sana nakumbuka ilikuwa kama miaka ya 2005 ivi kipindi icho hatukuwa na TV nyumbani basi marafiki zangu wakawa wananihadisia nikawa najiuliza inawezekana vipi mtu ni mkubwa halafu aweze kuonekana ndani ya kidude kidogo (nakumbuka ile TV ilikuwa HITACHI) basi siku moja nikatoroka kutoka nyumbani na video ya kwanza kabisa kuiona ilikuwa ya mkali JACKIE CHAN....Daah nikikumbuka kipindi kile na nilivyo sasa huwa nacheka saana!
Any way God is GReat!
 
Cha kushangaza tupo katikati ya movie majambazi waliingia na bunduki wakaiba Tv,Deki na jenereta pasi na kutufanya Chochote.
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
1995 kwa jirani. Baada ya mv bukoba kuzama.
Nilimuuliza baba maswali mengi sana.
 
Duh hizi TV bhana mm nakumbuka 1997 nipo la 7 nilikuwa napewa tsh 100 ya tuition badala ya kwenda tuition nai change 20 20 naenda kuangalia video
 
Back
Top Bottom