Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,301
- 8,706
Daah umenikubusha mbali sana nakumbuka ilikuwa kama miaka ya 2005 ivi kipindi icho hatukuwa na TV nyumbani basi marafiki zangu wakawa wananihadisia nikawa najiuliza inawezekana vipi mtu ni mkubwa halafu aweze kuonekana ndani ya kidude kidogo (nakumbuka ile TV ilikuwa HITACHI) basi siku moja nikatoroka kutoka nyumbani na video ya kwanza kabisa kuiona ilikuwa ya mkali JACKIE CHAN....Daah nikikumbuka kipindi kile na nilivyo sasa huwa nacheka saana!
Any way God is GReat!
Any way God is GReat!