M moses one Member Joined Jul 9, 2014 Posts 10 Reaction score 2 Oct 20, 2016 #1 wadau nakumbuka siku ya kwanza darasa la kwanza nilipewa sh 40 zote nlitumia kula sambusa maana vilikuwa vitu vigeni kwangu .....daah stasahau siku hiyo........vipi kwenu wakuu ilikuwaje siku hiyo?//
wadau nakumbuka siku ya kwanza darasa la kwanza nilipewa sh 40 zote nlitumia kula sambusa maana vilikuwa vitu vigeni kwangu .....daah stasahau siku hiyo........vipi kwenu wakuu ilikuwaje siku hiyo?//