Siku ya kwanza kuanza shule

Siku ya kwanza kuanza shule

moses one

Member
Joined
Jul 9, 2014
Posts
10
Reaction score
2
wadau nakumbuka siku ya kwanza darasa la kwanza nilipewa sh 40 zote nlitumia kula sambusa maana vilikuwa vitu vigeni kwangu .....daah stasahau siku hiyo........vipi kwenu wakuu ilikuwaje siku hiyo?//
 
Back
Top Bottom