Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
Mimi Dar mara ya kwanza nilifika wakati naanza chuo. Sasa toka zamani nimekuwa nikiisoma Coco beach. Yale magazeti ya Sani na Bongo yalinijengea picha kuwa Coco beach ni sehemu moja babkubwa sana. Walikuww wakichora watu wanogelea na maputo huku kwenye background kuna maghorofa tupu.
Siku napaona mara ya kwanza nilishangaa sana. Yale maputo na bikini na water skii na watu wamevaa mashati ya bahama na maghorofa kwenye background viko wapi. Nilistaajabu sana lakini baadaye nikazoe.
Siku nikampeleka jamaa yangu kutoka Ukerewe, naye ilikuwa mara ya kwanza. Yuko "hapa ndiyo Coco beach!?". Ilikuwaje ulipofika Coco beach kwa mara ya kwanza?