Siku ya kwanza kufungua Biashara ilikuwaje?

Ilikuwa biashara ya mpesa Nilikaa tangu asubuh Hadi mchana sijaona mteja Wala mtu yeyote kukatisha kwenye biashara yangu , Kuna siku nilirud nikiwa nimehudumia mteja mmoja Tena wa kununua vocha ya 500 , branding zote nimefanya nilindika maandishi kwenye mlaรฑgo mpesa [emoji3][emoji3] lakin watu walikuwa hawaon[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16], location ilikuwa nzuri , daaah niliumia Sana , nikchek jiran yangu mwenye biashara kma yangu alikuwa anajaza wateja ,

Zile wiki mbili za mwanzo nilizunguka Sana kwa waganga wa kienyej , walikuwa wengi Sana Hadi siwakumbuki , na sikuona msaada wao , nilioga Sana madawa , nilipigwa Sana chale , nilinyunyizia Sana madawa kwenye frem yangu Lakini wapi [emoji3]

Nilikuja kugundua biashara ni brand ukishatengeneza brand yako vizur hela zitakufwata tu , kingine unavyofungua biashara usitegemee matokeo ndani ya Muda mfupi , biashara ni brand inayokua taratibu Sana , pia usitegemee kuchukua wateja wa jirani yako hata siku moja, tengeneza strategy yako ya kuwapata wateja wako wapya hapa panahitaji ubunifu Sana
 
Duuh Shukrani sana Kwa kushare Mkuu umenipa kitu.

Nitalifanyia kazi.
 
Nilikutana na changamoto ya kusahau bei ya kuuzia baadhi ya bidhaa, nilikuwa mzito sana katika kuwahudumia wateja hasa wakiwa wengi kwa pamoja. Kusahau zilipo baadhi ya bidhaa. Ila changamoto kubwa ni kuchukiwa na baadhi ya wafanyabiashara wenzangu wenye biashara kama yangu.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Pole sna Mkuu iyo ni kawaida
 
Aisee izi mambo kumbe ni serious,
Kuna mtu kanipa week 2 nikabaki nacheka Tu

Kwamba nimewavamia, Mwingine kaniambia hapa utapaweza kuna makontawa wa ushirikina.

Anyway wamenipa hasira, na kuzidi kumuomba Mungu lakini nashukuru Mungu biashara inaenda.
 
Ni serious zipo nakumbuka Kuna sehemu nilitarget kabla sijalipia fremu nikaanza kuambiwa na wakazi wa pale na nikacomfirm kwa ndugu yangu anaeishi maeneo yale. Inasemekana kuwa Kuna ndumba sana kila anaefungua biashara aina fulani lazima afunge kwahiyo nijipange. Nikaona isiwe kesi nikapapotezea
 
Nilikimbia duka nikamwachia dada
[emoji28]
Akaona mambo magumu akanishauri tuuze mkorogo wa kijiko[emoji28][emoji28]

Ila nilipotoka na nilipo

Nasema Asante Mungu.[emoji120]
 
Nilikimbia duka nikamwachia dada
[emoji28]
Akaona mambo magumu akanishauri tuuze mkorogo wa kijiko[emoji28][emoji28]

Ila nilipotoka na nilipo

Nasema Asante Mungu.[emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23] dear bhana.
Afu kuna products niwahi ona kwako ulipost,
Ntakuja PM tuzungumze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ