Mr Suprize
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 869
- 961
Ilikuwa biashara ya mpesa Nilikaa tangu asubuh Hadi mchana sijaona mteja Wala mtu yeyote kukatisha kwenye biashara yangu , Kuna siku nilirud nikiwa nimehudumia mteja mmoja Tena wa kununua vocha ya 500 , branding zote nimefanya nilindika maandishi kwenye mlañgo mpesa [emoji3][emoji3] lakin watu walikuwa hawaon[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16], location ilikuwa nzuri , daaah niliumia Sana , nikchek jiran yangu mwenye biashara kma yangu alikuwa anajaza wateja ,
Zile wiki mbili za mwanzo nilizunguka Sana kwa waganga wa kienyej , walikuwa wengi Sana Hadi siwakumbuki , na sikuona msaada wao , nilioga Sana madawa , nilipigwa Sana chale , nilinyunyizia Sana madawa kwenye frem yangu Lakini wapi [emoji3]
Nilikuja kugundua biashara ni brand ukishatengeneza brand yako vizur hela zitakufwata tu , kingine unavyofungua biashara usitegemee matokeo ndani ya Muda mfupi , biashara ni brand inayokua taratibu Sana , pia usitegemee kuchukua wateja wa jirani yako hata siku moja, tengeneza strategy yako ya kuwapata wateja wako wapya hapa panahitaji ubunifu Sana