kisu hiki hiki cha kuchinjia kuku?
Tukumbushane Mara ya kwanza kura kwa kisu na uma ilikuwaje, Mimi nilibahatika kushiriki conference nyingi kubwa Mara zote nikawa nakula kisu naweka kushoto uma kulia basi nikazoeahvyo mwaka huu nikala na rafiki zangu wazungu walipoona nimefanya hivyo wakanambia nisipate shida kula vile nadhani walijikaza wasicheke ila baadae nikaalikwa kwenda kwenye dinner ya maana . mlimani city nikagoogle nakuja shtukia kumbe una unakaa kushoto kisu kulia nilicheka sana ushamba umezidi japokuwa bado sijawa pro bado najifunza
Kui am vere serious ujue, nisije na mimi nikabeba bisu la kuchinjia kuku lolHaha
Heaven Sent wewe wa kukosa xpozha, girl please!
Lakini vituko humu, eti kisu cha kulia kama kile cha kuchinja kuku, nikakumbuka vinakuwa vikubwa...lol
Kui am vere serious ujue, nisije na mimi nikabeba bisu la kuchinjia kuku lol
Ulijishtukia tu...ungewaambia sisi kisu kushoto,uma kulia!Tukumbushane Mara ya kwanza kura kwa kisu na uma ilikuwaje, Mimi nilibahatika kushiriki conference nyingi kubwa Mara zote nikawa nakula kisu naweka kushoto uma kulia basi nikazoeahvyo mwaka huu nikala na rafiki zangu wazungu walipoona nimefanya hivyo wakanambia nisipate shida kula vile nadhani walijikaza wasicheke ila baadae nikaalikwa kwenda kwenye dinner ya maana . mlimani city nikagoogle nakuja shtukia kumbe una unakaa kushoto kisu kulia nilicheka sana ushamba umezidi japokuwa bado sijawa pro bado najifunza
Uma zikiwa nyingi ni Nyuma na kisu vikiwa vingi ni VisuUma Na kisu
Hata kama ni kande na ubwabwa.. Teh tehUma Na kisu
Sio lazima lakini... Mimi nitaomba maji ya kunawia mkono then napiga vitu,, hizo tamaduni zilizokuja na majahazi simaindishagi kabisa...mimi ukweli niseme ushamba wangu...kuna siku nikuwa hapa kuleana mwanza nikaagiza chapati chai na matunda, wakaniletea na kisu na ummaa bila maji ya kunawa,xo nikajifikilia sana nileje au niende kunawa, nikapiga jicho pembeni nikaona tissue za kujifuta maji.nikaamua kuchukuwa moja taratibu nikaendelea, cha ajabu akaja mteja mwigine akaagiza chapati.wakaleta vile vitu tena nikamcheki kwa makini bila yeye kujua.nikaona anakatakata kwa ustadi sana chapati kisha akachukuwa UMMA na kuanza kula, nilikifunza kitu toka hapo..
Haswaa uncle, mimi linapokuja suala la msosi napendelea zaidi mikono yangu au kijiko, nyuma zao na visu vyao wakachinjie kuku..Kutumia hivyo vitu mimi nishashindwa ,yaani nakula kuku au samaki halafu nitumie uma ,? Wacha niwe mshamba tu nitakula na mikono yangu