siku ya kwanza kula kwa kisu na uma

siku ya kwanza kula kwa kisu na uma

Kwi kwi kwi kwi lol! Hapana Mkuu hiki cha kulia msosi, pamoja nacho kinaitwa kisu lakini kiko tofauti kwa muonekano na pia hakina makali sana kama kile cha kuchinjia kuku.

kisu hiki hiki cha kuchinjia kuku?
 
Izo habari za kisu na umma kwa tuliofyatuliwa bongo inabidi ianzishwe tuisheni. I've tried mara nyingi lakin naishiaga kunawa mikono coz siwi comfortable, kuna siku I went out na mwenzangu for breakfast tukaitisha visosegi na fried eggs... Mwenzangu kakaa yulopu so ni mzoefu, me nkanawa mikono ananiuliza why ain't you use fork nkasema sijiskii. Kumbe nataman bana ila ndo ivyo naona aibu table manners zero
 
Tukumbushane Mara ya kwanza kura kwa kisu na uma ilikuwaje, Mimi nilibahatika kushiriki conference nyingi kubwa Mara zote nikawa nakula kisu naweka kushoto uma kulia basi nikazoeahvyo mwaka huu nikala na rafiki zangu wazungu walipoona nimefanya hivyo wakanambia nisipate shida kula vile nadhani walijikaza wasicheke ila baadae nikaalikwa kwenda kwenye dinner ya maana . mlimani city nikagoogle nakuja shtukia kumbe una unakaa kushoto kisu kulia nilicheka sana ushamba umezidi japokuwa bado sijawa pro bado najifunza

Formula ni kuwa mkono wenye nguvu na control ndio unaoshika kisu. Wale mashoto kisu hushikia mkono wa kushoto.
 
Nkila na kisu na uma hata sishibi,event yoyote huwa nakula na mkono,nikikuheshimu sana bas kijiko.chopsticks nazo nilifeligi kuzitumia,ghetto uma na visu mpaka vinapata kutu bila kutumika
 
Haha
Heaven Sent wewe wa kukosa xpozha, girl please!

Lakini vituko humu, eti kisu cha kulia kama kile cha kuchinja kuku, nikakumbuka vinakuwa vikubwa...lol
Kui am vere serious ujue, nisije na mimi nikabeba bisu la kuchinjia kuku lol
 
  • Thanks
Reactions: kui
Tukumbushane Mara ya kwanza kura kwa kisu na uma ilikuwaje, Mimi nilibahatika kushiriki conference nyingi kubwa Mara zote nikawa nakula kisu naweka kushoto uma kulia basi nikazoeahvyo mwaka huu nikala na rafiki zangu wazungu walipoona nimefanya hivyo wakanambia nisipate shida kula vile nadhani walijikaza wasicheke ila baadae nikaalikwa kwenda kwenye dinner ya maana . mlimani city nikagoogle nakuja shtukia kumbe una unakaa kushoto kisu kulia nilicheka sana ushamba umezidi japokuwa bado sijawa pro bado najifunza
Ulijishtukia tu...ungewaambia sisi kisu kushoto,uma kulia!
 
Ukienda kula sehemu kama hizi usiwe na njaa.
 
mimi ukweli niseme ushamba wangu...kuna siku nikuwa hapa kuleana mwanza nikaagiza chapati chai na matunda, wakaniletea na kisu na ummaa bila maji ya kunawa,xo nikajifikilia sana nileje au niende kunawa, nikapiga jicho pembeni nikaona tissue za kujifuta maji.nikaamua kuchukuwa moja taratibu nikaendelea, cha ajabu akaja mteja mwigine akaagiza chapati.wakaleta vile vitu tena nikamcheki kwa makini bila yeye kujua.nikaona anakatakata kwa ustadi sana chapati kisha akachukuwa UMMA na kuanza kula, nilikifunza kitu toka hapo..
Sio lazima lakini... Mimi nitaomba maji ya kunawia mkono then napiga vitu,, hizo tamaduni zilizokuja na majahazi simaindishagi kabisa...
 
Kutumia hivyo vitu mimi nishashindwa ,yaani nakula kuku au samaki halafu nitumie uma ,? Wacha niwe mshamba tu nitakula na mikono yangu
Haswaa uncle, mimi linapokuja suala la msosi napendelea zaidi mikono yangu au kijiko, nyuma zao na visu vyao wakachinjie kuku..
 
Nafikiri ungepata muda ukapitia kitabu cha SONGS OF LAWINO cha Okot p' bitek kingekusaidia sana namna ya kula kwa uma na kisu
 
Back
Top Bottom