Siku ya Kwanza Kula tikiti maji

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jamaa alikuwa hayapendi matikiti eti yananuka .Siku alipoyaonja akayapenda sana siku moja aliyatafuta toka Kibaha hadi Kinyerezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ya maparachichi ya zamani kabla ya haya yaliyofanyiwa grafting yalikuwa ndo mazuri haswa (nadhani ndio hayo mlikuwa mnachezea) na yalikuwa yana mafutafuta flani hivi mpaka sehemu zingine yalikuwa yanaitwa "embe mafuta" kabla ya hili jina parachichi kushika kasi siku za hivi karibuni
 
M siku ya kwanza kula apple kna demu alnambia nmnnulie zawad ya apple ,nikannua frsh wakat wa kpeleka demu akazngua kuja nikasema afadhal namm leo nilionje had leo nalpenda tunda la apple

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaaaa daaah nisingesoma kule kanyigo bukoba huenda nisingeonja parachichi maisha yangu yote. Shule za board hizi maharage mnapewa kidogoo sana sasa kule parachichi kubwaaa ilikua ni kati ya 100 na 200. Ukipeleza tu mboga basi unakula na parachichi yan ilifikia kipindi nikawa nakula ugari/wali na parachichi tu bila mboga. Hadi kesho hilo ndio tunda langu pendwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katikati ya 1987-1990 Kwenye jumba bovu Sinza kuna yale matikiti maji ya asili nikikuta yamejiotea nikakuta moja limepevuka. Sikumbuki kama nilishawahi kulikuta sehemu lakini common sense ikaniambia hilo ni tikiti maji basi nikaonja kipande kidogo Aaaah lilikuwa tamu saana haya ya kisasa hamna kitu kabisa ingawa lilikuwa na umbo dogo na ndani rangi ilikuwa njano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…