Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majumbau yatakuwa hayo!Kuna tunda linaitwa kiwi... Natamani siku nlionje.. But hisia zangu zinaniambia lina ladha mbaya kuliko matunda yote
Sent using Jamii Forums mobile app
da hili silijui au ndio lile la kwenye miti flani kama mnazi kula wanaiita mihama, ndio chanzo cha neno kahama?
Fenesi (jackfruit). Tamu sana.Kuna tunda la njano hivi linawekwa kwenye vikopo lipo sana maeneo ya posta sijawahi tamani lila kabisa!!.. Lakini kwa wingi wa wauzaji wake inaonekana lina wateja sana dsm.
Naona kama nitalitapika!!.. Ingawa nitakuja jitosa siku moja nilijaribu kama nilivyoweza jitosa Sambusa na Supu!..Fenesi jackfruit). Tamu sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaweza kushangaa lakni siku ya kwanza kula tikiti maji ilikuwa mwaka 2003.
Nilikuwa napita sokoni tu ila sijui ni nini.
Ni kama upite mitaa ya wahindi utakutana na mboga za majani ma matunda ambayo tangu mama muuza genge mtaani kwenu afungue ujasiliamali wake miaka 50 iliyopita hajawahi kuyauza.
Niliingia sokoni nikanunua kipande. Ule wekundu nilikuwa najua ni mchachu kama limao hivi.
Kwa Kuogopa aibu nikalitila mfukoni, nikapanda daladala na kutokomea kunakojulikana kando ya mlima flani ili nilile tunda lile kitafiti zaidi hata likinishinda nilitupe.
Tangu siku ile kwa utamu ule, na utafunwaje wake unaopukutika kama unakula biskuti flani tuliziita '' wafer'' niliburudika sana na kulifanya kuwa tunda langu bora la muda wote hadi naingia kaburini.
Ukisikia ninaumwa niletee tikiti maji, hata kama niko mahututi nitajitahidi angalau nililambe tu.
Matunda mengine niliyala kwa mara ya kwanza ukubwani ni.....
1: Tufaa / Apple
2: Fenesi
3: Yale matunda mekundumekundu wanasema ndio maembe ya iringa.
Hebu toa uzoefu wako, Kuficha ukweli wako kwenye mambo madogomadogo kama haya ni ujinga sio ujanja.
Kuna jamaa alikuwa hayapendi matikiti eti yananuka .Siku alipoyaonja akayapenda sana siku moja aliyatafuta toka Kibaha hadi Kinyerezi.Unaweza kushangaa lakni siku ya kwanza kula tikiti maji ilikuwa mwaka 2003.
Nilikuwa napita sokoni tu ila sijui ni nini.
Ni kama upite mitaa ya wahindi utakutana na mboga za majani ma matunda ambayo tangu mama muuza genge mtaani kwenu afungue ujasiliamali wake miaka 50 iliyopita hajawahi kuyauza.
Niliingia sokoni nikanunua kipande. Ule wekundu nilikuwa najua ni mchachu kama limao hivi.
Kwa Kuogopa aibu nikalitila mfukoni, nikapanda daladala na kutokomea kunakojulikana kando ya mlima flani ili nilile tunda lile kitafiti zaidi hata likinishinda nilitupe.
Tangu siku ile kwa utamu ule, na utafunwaje wake unaopukutika kama unakula biskuti flani tuliziita '' wafer'' niliburudika sana na kulifanya kuwa tunda langu bora la muda wote hadi naingia kaburini.
Ukisikia ninaumwa niletee tikiti maji, hata kama niko mahututi nitajitahidi angalau nililambe tu.
Matunda mengine niliyala kwa mara ya kwanza ukubwani ni.....
1: Tufaa / Apple
2: Fenesi
3: Yale matunda mekundumekundu wanasema ndio maembe ya iringa.
Hebu toa uzoefu wako, Kuficha ukweli wako kwenye mambo madogomadogo kama haya ni ujinga sio ujanja.
Ya maparachichi ya zamani kabla ya haya yaliyofanyiwa grafting yalikuwa ndo mazuri haswa (nadhani ndio hayo mlikuwa mnachezea) na yalikuwa yana mafutafuta flani hivi mpaka sehemu zingine yalikuwa yanaitwa "embe mafuta" kabla ya hili jina parachichi kushika kasi siku za hivi karibuniduu,
mkuu mimi nimeshangaa eti parachichi watu wanalia hadi ugali na wali.
wakati home enzi hizo yalikuwepo yakiiva tunayachezea tu tulipokuwa watoto.
Hilo naliona tangu mdogo ila nikionja tu nahisi kutapika. Juzijuzi baada ya kugundua ni la Muhimu nikaanza kunywa sharubati (Juice yake) Sikuhizi na mimi nimeiga kula japo kwa kujilazimisha.
Mimi nilizoea, Stafeli, maembe dodo, topetope, maembe madogo, sungwi.
Jamaa nikiwashangaa wanapendea nini parachichi wananicheka.
Hahahahaaaa daaah nisingesoma kule kanyigo bukoba huenda nisingeonja parachichi maisha yangu yote. Shule za board hizi maharage mnapewa kidogoo sana sasa kule parachichi kubwaaa ilikua ni kati ya 100 na 200. Ukipeleza tu mboga basi unakula na parachichi yan ilifikia kipindi nikawa nakula ugari/wali na parachichi tu bila mboga. Hadi kesho hilo ndio tunda langu pendwa.Juzi hapa nilimlazimisha rafiki yangu kula parachichi. Alikuwa hajawahi kula kabla ya hapo. Sasa kila nikimshawishi alikuwa hataki. Nikakata kipande kidogo hivi cha pembe tatu.
Nikamwambia kula hata hucbi kidogo huku usilifikirie, jamaa akala.
Aiseeh. Unajua alisemaje
"Kuna kipande chengine hapo uniongeze".
Sent using Jamii Forums mobile app
Daa nimekula mno kipindi nipo primary,ni tunda zuri sana'Topetope' hili tunda nimeliona na kufanikiwa kulila wiki 3 nyuma, iliniwia vigumu kidogo, maana lina maji na sukari kama yote, halafu ni tepetepe sana.