Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Kama uko Daslam tembelea soko la food lovers masaki utalipata au uhindini ila moja tsh elf tatu. Huku nilipo yako mengi tena bei chee....
Ni matamu mnoo na yana virutubisho vingi mwilini. Nayapenda sana.
View attachment 1008164
Hizo nyingine ni zabibu zisizo na mbegu, ni tamu mnoo.
I love eating 😋.
Kasie.
kweli mkuu,Kabla sijaenda nje ya mada. Ni kweli linaloongelewa hapa ni tikiti?
mkuu mbona ziko kama mbilimbiKama uko Daslam tembelea soko la food lovers masaki utalipata au uhindini ila moja tsh elf tatu. Huku nilipo yako mengi tena bei chee....
Ni matamu mnoo na yana virutubisho vingi mwilini. Nayapenda sana.
View attachment 1008164
Hizo nyingine ni zabibu zisizo na mbegu, ni tamu mnoo.
I love eating 😋.
Kasie.
nilikuwa naona yanachafua soko, najiuliza ni manini hayo yanakaa karibu na amchungwa na maembe?Kumbe ulikuwa hujui kama tikiti maji ni chakula yahe
hahaha
strawberryMe cjawai kula fenesi japo yapo hapa napoishi na sijawai kula stroberry cjui nmepatia kuandka
Sent using Jamii Forums mobile app
strawberry
Hayo hayo! wewe umeshawahi kuyaonja ?
jaman mbn za kijani?had mdomo umechachuka ghafla🙃ushamba huu
kweli mkuu,
mkuu mbona ziko kama mbilimbi
Vilikuwepo lakini mimi sikuwahi viamini kama ni safe!.. Mfano supu nilikuwa naona nitaharisha nikinywa as ni uchafu hivi. Mpaka nilipoanza itumia toa 'lock' ndio nikajua umuhimu wake!..Hahahahahhahaa
With no offense Mkuu, asilia yako ni wapi, nikimaanisha u mwenyeji wa wapi au umetokea eneo gani ambako hakukuwa na hivi vitu ulivyovitaja??
Hongera sana ,Mimi huwa sikubali kushindwa kula kitu mfano asali na fenesi nilikuwa sigusi kabsa nikajilazimisha angalau siku hizi nakula lakini mahama nimenyanyua mikonoSio tuu kuyaonja bali kula kabisaa, kila nikienda nyumbani Tabora nayala hadi hamu iishe.
Ndo asili yake yalivyo, yako soft and sweet. Yajaribu siku moja hutojutia.
Kuna wanaoyala na maganda yake, mie huwa namenya.
Vilikuwepo lakini mimi sikuwahi viamini kama ni safe!.. Mfano supu nilikuwa naona nitaharisha nikinywa as ni uchafu hivi. Mpaka nilipoanza itumia toa 'lock' ndio nikajua umuhimu wake!..
Hadi leo siwezi kula utumbo unless uwe roasted au ukaangwe!..N' natokea kanda ya ziwa kwenye ming'ombe mingi!!..
Hongera sana ,Mimi huwa sikubali kushindwa kula kitu mfano asali na fenesi nilikuwa sigusi kabsa nikajilazimisha angalau siku hizi nakula lakini mahama nimenyanyua mikono
Duh ndo kwanza nasikia kwako!..Dooh kweli you are such a good fella!!!
Utumbo wa kuku ulishawahi kuula??