Siku ya Kwanza Kula tikiti maji

Siku ya Kwanza Kula tikiti maji

Kama uko Daslam tembelea soko la food lovers masaki utalipata au uhindini ila moja tsh elf tatu. Huku nilipo yako mengi tena bei chee....

Ni matamu mnoo na yana virutubisho vingi mwilini. Nayapenda sana.

View attachment 1008164

Hizo nyingine ni zabibu zisizo na mbegu, ni tamu mnoo.

I love eating 😋.

Kasie.

jaman mbn za kijani?had mdomo umechachuka ghafla🙃ushamba huu
 
Kabla sijaenda nje ya mada. Ni kweli linaloongelewa hapa ni tikiti?
kweli mkuu,
Kama uko Daslam tembelea soko la food lovers masaki utalipata au uhindini ila moja tsh elf tatu. Huku nilipo yako mengi tena bei chee....

Ni matamu mnoo na yana virutubisho vingi mwilini. Nayapenda sana.

View attachment 1008164

Hizo nyingine ni zabibu zisizo na mbegu, ni tamu mnoo.

I love eating 😋.

Kasie.
mkuu mbona ziko kama mbilimbi
 
Kumbe ulikuwa hujui kama tikiti maji ni chakula yahe
nilikuwa naona yanachafua soko, najiuliza ni manini hayo yanakaa karibu na amchungwa na maembe?
Rangi ile ya nje na ujue nilikuwa sekondary najua mambo mengi hadi ya india vijijini na vyakula vyao, na shule ilikuwa karibu na soko ila hilo nilikuwa sijui ni nini na lina ladha gani. Sikujua kabisa kama ni tunda.
 
kweli mkuu,

mkuu mbona ziko kama mbilimbi

Hahahahaha sio mbilimbi, hayo ni manene kiasi kuzidi mbilimbi na hayana ukakasi kama mbilimbi. Ni matamu haswa labda tuu ladha yake usiipende.
 
Hahahahahhahaa

With no offense Mkuu, asilia yako ni wapi, nikimaanisha u mwenyeji wa wapi au umetokea eneo gani ambako hakukuwa na hivi vitu ulivyovitaja??
Vilikuwepo lakini mimi sikuwahi viamini kama ni safe!.. Mfano supu nilikuwa naona nitaharisha nikinywa as ni uchafu hivi. Mpaka nilipoanza itumia toa 'lock' ndio nikajua umuhimu wake!..
Hadi leo siwezi kula utumbo unless uwe roasted au ukaangwe!..N' natokea kanda ya ziwa kwenye ming'ombe mingi!!..
 
Mimi tikiti nimekula kwa mara ya kwanza 2007, tena mimi na wenzangu tulialikwa dinner na wazungu waliokuwa wamealikwa shuleni kwetu. Fenesi kwa mara ya kwanza nimekula wiki iliyopita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio tuu kuyaonja bali kula kabisaa, kila nikienda nyumbani Tabora nayala hadi hamu iishe.
Hongera sana ,Mimi huwa sikubali kushindwa kula kitu mfano asali na fenesi nilikuwa sigusi kabsa nikajilazimisha angalau siku hizi nakula lakini mahama nimenyanyua mikono
 
Vilikuwepo lakini mimi sikuwahi viamini kama ni safe!.. Mfano supu nilikuwa naona nitaharisha nikinywa as ni uchafu hivi. Mpaka nilipoanza itumia toa 'lock' ndio nikajua umuhimu wake!..
Hadi leo siwezi kula utumbo unless uwe roasted au ukaangwe!..N' natokea kanda ya ziwa kwenye ming'ombe mingi!!..

Dooh kweli you are such a good fella!!!

Utumbo wa kuku ulishawahi kuula??
 
Hongera sana ,Mimi huwa sikubali kushindwa kula kitu mfano asali na fenesi nilikuwa sigusi kabsa nikajilazimisha angalau siku hizi nakula lakini mahama nimenyanyua mikono

Matamuu, kero ni yale manyuzi nyuzi tuu ila matamu haswaaaa.

Ukimpata mtu anayejua kushawishi vizuri kuonja chakula, utaja yaonja tuu.
 
Back
Top Bottom