Duh ndo kwanza nasikia kwako!..
Nimekulia mikoa 11 Tz.. Makazi Dsm kwa sasa!..🙂Hhahahahahahahhaaa bado swali langu liko palepale....
Uliishi wapi wakati u mtoto na unaishi wapi kwa sasa?..... Namaanisha eneo, mkoa wilaya na kitongoji.
Nimekulia mikoa 11 Tz.. Makazi Dsm kwa sasa!..🙂
Vilikuwa vinatengenezwa lakini me sikuwahi vipenda nilikuwa naviona tofauti na familia!.. Mfano kuna family member wengine hawakuwa wanatumia Mayai kabisa, wengine Nyama, Mrenda so tulikuwa tunatofautiana!.Kote huko hujazoeshwa kula sambusa.... supu.... na utumbo...!!???