Siku ya Kwanza Kula tikiti maji

Siku ya Kwanza Kula tikiti maji

Kwa mara ya kwanza fenesi nililikuta Tanga miaka mitatu iliyopita ni tamu lakini nafsi yangu haikulibariki, parachichi nilijitahidi mpaka nikaliweza nalipenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh ndo kwanza nasikia kwako!..

Hhahahahahahahhaaa bado swali langu liko palepale....

Uliishi wapi wakati u mtoto na unaishi wapi kwa sasa?..... Namaanisha eneo, mkoa wilaya na kitongoji.
 
Kote huko hujazoeshwa kula sambusa.... supu.... na utumbo...!!???
Vilikuwa vinatengenezwa lakini me sikuwahi vipenda nilikuwa naviona tofauti na familia!.. Mfano kuna family member wengine hawakuwa wanatumia Mayai kabisa, wengine Nyama, Mrenda so tulikuwa tunatofautiana!.
Sambusa nimeanza kula ukubwani kwenye harusi flani, supu nilianza toka Advance but mostly chuoni kutoa hangeover napo naijaza sana pilipili l!..
Utumbo mpaka leo sili labda uwe roasted au uchomwe ila ile supu or kuupika sijui sili!.
 
Back
Top Bottom