rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Hakika kila nafsi itaonja mauti japo kifo hakizoeleki kabisa ndo maana huwa tunaumia sana tukifiwa.
Kuna siku niliona maiti ya mmama aliegongwa na gari nikiwa la saba aisee ile picha haijawahi potea kichwani mwangu ubaya alikuwa bado amefungua macho[emoji24][emoji24][emoji24] Baada ya lile tukio alifariki rafiki yangu hakika sikuweza kwenda kuaga nilishindwa kabisa! Mungu awalaze mahali pema peponi.
Je siku ya kwanza kuona maiti ilikuwaje?? Hii memory ni mimi tu nashindwa kuifuta au?