Siku ya kwanza kuona Maiti

Siku ya kwanza kuona Maiti

Hakika kila nafsi itaonja mauti japo kifo hakizoeleki kabisa ndo maana huwa tunaumia sana tukifiwa.

Kuna siku niliona maiti ya mmama aliegongwa na gari nikiwa la saba aisee ile picha haijawahi potea kichwani mwangu ubaya alikuwa bado amefungua macho[emoji24][emoji24][emoji24] Baada ya lile tukio alifariki rafiki yangu hakika sikuweza kwenda kuaga nilishindwa kabisa! Mungu awalaze mahali pema peponi.

Je siku ya kwanza kuona maiti ilikuwaje?? Hii memory ni mimi tu nashindwa kuifuta au?
Hahahahahaaa
Pia nikiwa secondary niliona jamaa kauawa porini madamu yametapakaa...sijawahi kusahau hadi leo aisee.
Ingawa siku hizi nimezoea ila ile ya mwanzo haijatokaga hadi leo
 
Hahahahahaaa
Pia nikiwa secondary niliona jamaa kauawa porini madamu yametapakaa...sijawahi kusahau hadi leo aisee.
Ingawa siku hizi nimezoea ila ile ya mwanzo haijatokaga hadi leo
Duuh ulikuwa mwenyewe??
 
Back
Top Bottom