Siku ya kwanza kupigwa ban ulijisikiaje?

Nilijisikia poa tu, nilileta story za nje ya mjadala ila haikuniathiri sana kwa sababu niliperuzi as a guest user

ilikuwa mwaka jana mwezi may!
[emoji56] [emoji56] [emoji3] [emoji3] [emoji4] [emoji4]
 
Sijawahi pigwa hiyo na sitaki itokee eee Mwenyezi Mungu nisaidie!
 
Natamani kuziepuka ban ila siwezi
Unaweza tu kuepuka.. Mfano ukijifunza kuweka akiba ya maneno, si lazima anae kukwaza kumjibu au kumtukana. Mwisho usitembelee jukwaa la siasa kama wewe ni shabiki wa upande fulani ambaye hujibu hoja
 
Tokea nimejiunga July 2016, sijawahi pata Ban na sijui ilivyo, nitajitahidi kufata sheria na masharti yote ya jf ili nisipate Ban. Sipendi kweli kupigwa ban.

Ewe mungu nisaidie, aminaaa
 
Washenzi hawa walinipa BAN 25/10/2015 kisa niliwaambia ukweli kuwa wanachezewa ndo maana JF iko chini
Mapunda haya yakanipa BAN ya miezi 3
Kweli wewe sigara Kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…