Principal Focus
JF-Expert Member
- Jan 4, 2013
- 925
- 550
- Thread starter
- #141
Haya...sina njaa!
nikija huku nakuja kubeua!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya...sina njaa!
nikija huku nakuja kubeua!
Nimesema mm jaman sijasema woteAcha basi kutudhalilisha wachaga...
Wife upo?Bado hujawa na akili ww..empty set kabisa
[emoji56] [emoji56] [emoji3] [emoji3] [emoji4] [emoji4]Nilijisikia poa tu, nilileta story za nje ya mjadala ila haikuniathiri sana kwa sababu niliperuzi as a guest user
ilikuwa mwaka jana mwezi may!
Usiache kuleta mrejeshoNgoja na mimi nigoogle nijue ni kitu gani hicho
Hicho kiapo si cha nchi hii.Sijawahi pigwa hiyo na sitaki itokee eee Mwenyezi Mungu nisaidie!
Unaweza tu kuepuka.. Mfano ukijifunza kuweka akiba ya maneno, si lazima anae kukwaza kumjibu au kumtukana. Mwisho usitembelee jukwaa la siasa kama wewe ni shabiki wa upande fulani ambaye hujibu hojaNatamani kuziepuka ban ila siwezi
Na naona hapo upo banned [emoji2] [emoji2] [emoji2] ya 16 hiyo mkuuNimejiunga 2017 lakini nimekula ban mara 15.
Wewe ndo unakulaga ban kila sikuBado hujawa na akili ww..empty set kabisa
Kweli wewe sigara KaliWashenzi hawa walinipa BAN 25/10/2015 kisa niliwaambia ukweli kuwa wanachezewa ndo maana JF iko chini
Mapunda haya yakanipa BAN ya miezi 3
UmeonaeeeeHicho kiapo si cha nchi hii.
Basi unaundugu na mods...Japo mimi ni mtukutu lakini ban haijawahi nisogelea tokea najiunga jf 2013
HongeraSijawahi kula ban