Siku ya kwanza napanda lori nilikuwa natoka Mwanjelwa Mbeya naelekea Dar es Salaam. Niliomba njia nzima, nikashuka Morogoro, chakufia nini?

Nilipanda Howo,ilikua ina tela la kontena lakini halina kontena,kila shimo tela likipita huku mbele wote mnacheza,ilikuwa ni mwendo wa kurukaruka,zile km takribani 30 zilikuwa ngumu sana kwakweli...
 
Usafiri wa Malori lazima úwe na kipaji.
Alafu kuna Watu hizô ndîo safari zào. Yaani kupanda Basi au Ndege Wanaona shida
 
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Dadeki! Haya Maisha bhana kûna mambo ukiyakumbuka unabaki kucheka tuu.

Bhana! Bhana! Kûna Dili nilikuwa nafukuzia Mbeya. Sasa Dili lenyewe likabuma, Pesa ya Guest Ikawa imeisha, Pesa ya nauli haitoshi kwani nilikuwa nimebakiwa na elfu ishirini na Saba na nauli ya Basi Wakati ule ilikuwa Kati ya elfu arobaini Mpaka hamsini ukilialia Sana basi elfu 35.
Sasa Mimi Nina elfu 27.

Nimekaa zangu maeneo ya Uyole, napiga hesabu zangu nafanyaje. Mfukoni elfu 27, kama nitaongeza Siku nyingine kulala Mbeya Pesa hiyo itapungua. Kwani kulipia Guest na Kula itaifanya bajeti yàngu hiyo ndogo kupungua na kubaki elfu 10.

Kichwa kinawaka, Jambo Moja àmbalo labda tuite ni Moja ya udhaifu wàngu NI kutopenda kutiatia huruma. Tàbia hiyo hunisaidia na Wakati mwingine huniumiza lakini sijawahi kuichukia Kwa sababu ndîo inanifanya niwe Mimi Halisi.

Nipigie ndugu, hapana. Nawaza Hapo.
Nipigie Marafiki, hapana, Nawaza bado.
Nipigie Mchumba, hapana, nakuna kichwa.
Nifanyeje?

Mara ghafla wazo la Kupanda Lori linabisha hodi.
Mimi nipande Lori? Najisikitikia Kwa kutingisha kichwa.

Nakuambia kwèñye Maisha yàngu sikuwahi kufikiria ati Siku Moja nitasafiri Kwa Magari ya Mizigo. Sikuwahi kufikiri hivyo. Siô kwamba kwetu tunamaisha Safi Nop!
Nimetoka kwèñye familia kama za Watanzania Wengine wengi.
Lakini mtazamo wàngu na maandalizi yàngu niliyokuwa nimejiandaa nayo tangu nikiwa mdogo nasoma isingekuwa rahisi siô kwangu tuu Bali hata wale walioona Makuzi yàngu kuwa ati Siku Moja nami ningepanda Lori na siô Kwa Pleasure Bali ni kutokana na kukosa Pesa.

Leo Mtibeli nimeishiwa Mbinu, nimeishiwa steps na kupigia ndugu, jamaa na marafiki sitaki.
Nikajifunza, kwèñye Maisha unaweza kupanga hivi Lakini Maisha yakakupeleka Vile. Hata hivyo Jambo Moja àmbalo Akili yàngu ilinikumbusha ni kuwa Flexible kuendana na mazîngira na Hali. Akili ñyiñgine ikaniambia Jambo lolote kwèñye Maisha àmbalo siô dhambi Wala siô uhalifu usione aibu kulifanya kama ndîo njia iliyobakia.
Huo ndîo unaitwa UNYENYEKEVU.

Ile Pride na kiburi ambacho nimekua nacho ulikuwa NI Muda wake ku- be neutralised, kutokomezwa na kuangamizwa. Muda wa kupata uzoefu mpya.
Nikajiambia mwenyewe nikimwambia Mungu Sawa Nimekuelewa.

Saa nane hiyo, nikaenda zangu MWANJELWA, pale Kwa Bahati nikakuta Lori la Mafuta limepaki linaelekea Dar. Nikawaambia nahitaji msaada wa kufika Dsm kupitia gari Yao. Wakaniambia Gari imejaa.

Sikuamini kuwa kumbe Usafiri wa Malori unagombaniwa kiasi Kile. Mimi sikuwahi kufikiri kabisa. Yaani Watu niliowakuta pale jinsi walivyokuwa wanaomba ungedhani wanaomba Pesa.
Yakaja Malori mawili pia nikakosa. Nikaona Hapa ushakuwa msala huu. Imefikia hatua nakosa Lori.
Saa tisa hiyo.

Hatimaye Saa tisa unusu nabahatika ndîo Sasa niliiita bahati kwani nilikuwa nashida zile dharau zilikuwa zimeniisha. Sikutaka Giza na Usiku unikute Mbeya. Nikapanda Lori la Mafuta lililokuwa linatokea Zambia.

Tulikuwa watano. Mbele alikuwa dereva na Tandiboy(msaidizi wake), huku Nyuma tulikuwa abiria Watatu, Mimi, Mwanaume mmoja na Mwanamke wa Makamo.

Nikatoa elfu 15. Yaani Kutoka Mbeya mpaka Dar elfu 15 nilifurahi Sana Ile ya kusema sikuzote nilikuwa Wapi, kwamba kumbe kûna Usafiri wa bei chee.
Kwa haraka haraka nikagundua wale Wengine walikuwa wazoefu wa Usafiri ule, huku Mimi pekeangu Siku hiyo ndîo Ikiwa mara yàngu ya Kwanza kupanda Lori.

Wenzangu wakawa wamenunua Vitu vya Kula, Mimi nisingeweza kununua licha ya kuwa nilikuwa nimebakiwa na elfu 12. Kule Dar sikuwa na akiba yoyote, zaidi pale nilipokuwa nimepanga Simu zilikuwa zinaita kunikumbusha Pesa ya Bill ya umeme.
Hivyo hiyo elfu 12 hata kama nisingeitoa kwèñye bills ya umeme Basi ningeitumia nikifika Dar huku nikitafuta mchongo.

Chuma ikatia Gia. Lori Jeupe, lenye tank tupu la Mafuta, Nyuma Likiwa limeandikwa inflammable ikanikumbusha Chemistry ya kidato cha pili, Flammable na inflammables lakini kwangu haikuwa na maana yoyote. Ubavuni mwa tanki likisomeka Jina la Kampuni na Aina za mzigo unaobebwa àmbao ni Petroleum. Lilikuwa gari jipyajipya hivi Kwa mwonekano wa harakaharaka.

Nilijihisi comfortable na safari Ile kutokana na mwendo wa gari kuwa wa kiheshima uliozingatia heshima na Sheria zote za Barabarani na watumiaji wa Barabara.

Dereva alikuwa Mwanaume mmoja mwenye Umri wa Makamo Kati ya Miaka 48 mpaka 55 hivi huku msaidizi wake akiwa kijana wa Miaka 35 mpaka 40 hivi.
Walikuwa wakipiga Stori zào za Hapa na pale huku redio ikiendelea kuchombeza Kwa Muziki na uchambuzi wa Mpira.
Kûna Wakati dereva na Tandiboy walijiunga na uchambuzi wa redioni kujadili Mpira huku wakigombana na wachambuzi mara kûna Wakati wanabishana waô Kwa waô. Nikajua dereva alikuwa Mshabiki wa Simba huku Tandiboy akiwa Mshabiki wa Yanga.

Sasa shida ya kûna Wakati wanataka tag, kuungwa Mkono hasa dereva àmbaye kûna Wakati anatuuliza maswali Sisi abiria tuliokuwa Nyuma. Sisi tunaitikia tuu kumridhisha Kwa sababu ya Umri wake lakini pia yeye ndiye boss pale lakini pia Tandiboy alikuwa anamzidi kwèñye kuongea Mpaka akawa anamkera.

Kwa jinsi alivyokuwa anamkera Mimi nilichokuwa nahofia ni usalama wa safari yetu maana siô Kwa mabishano Yale. Yalikuwa mabishano Makali ungesema watapigana, mara kutukanana mara hivi mara vile.
Kama NI Amri yàngu ningewaambia wakae kimya Kisha watuendeshe, lakini nikikumbuka nimetoa elfu 15 tuu tenà Kwa kulialia nakosa huo ujasiri. Ningekuwa na Pesa Wala nisingewaogopa Mimi. Ningewachana Mimi, wangenitambua Mimi. Yaani niwape Pesa alafu wanipigie kelele Mimi.
Nisingeogopa kushushwa wala nini. Pesa Ipo bhana! Naogopa nini.

Hao Saa nne tunaingia Iringa Mjini. Giza kama Lote.
Gari inasimama Kisha tunaambiwa tutapumzika dakika Kumi hivi,
Nikashuka kwèñye gari nikaenda Kujisaidia haja ndogo Kisha nikachukua Mhindi wa Miatano, biscuits ya Buku na Maji. Huyo ndàni ya gari sikutaka kukaa Sana nje kwani kulikuwa na baridi Sana.

Dakika Kumi ziliisha safari ikaendelea, tulipofika ILULA gari ikasimama tenà, Hapo Dereva na Tandiboy wakabadilishana Siti zào. Sasa Tandiboy yani Yule kijana ndiye aliyekuwa Dereva, na Yule Mzee WA makamu akiwa Sasa ndiye Tandiboy.

Chuma ikaanza tenà, Watu wôte kimya, redio na mngurumo wa gari ndivyo vilivyokuwa vikipokezana.

Yule Mzee akawa anakula mara anabadilisha Meterband sijui frequency za redio, mara inaongea redio hii anatoa, mara inaimba hii anatoa, mara sauti ya fyaaaa fyuuu kutokana na redio kukosa FM inayoongea lakini hakati tamaa anaendelea kutafuta. Mpaka alipokuta FM inayoimba Nyimbo za Kikongo akaacha Hapo Kisha wakawa wanaendelea kuzungumza lakini mara hii na mazungumzo ya kushtukiza siô Yale ya mara Kwa mara.

Wenzangu wawili huku Nyuma walikuwa wamelala. Mimi nami nikasema Acha nijaribu Kulala, lakini nilishindwa.

Yule kijana alianza kuendesha lile gari Kwa namna àmbayo sikuielewa, namna iliyowafanya mpaka wale waliokuwa wamelala waamke.

Mlima Kitonga huu Hapa, tuliupita kama mzaha Fulani hivi. Jamaa aliufagi kama kinyozi anayefagia Nywele CHINI ya sakafu.

Sikuwahi kujua kumbe Malori yanakimbia namna Ile. Jàmani jàmani!

Jamaa anawasha taa full light Kisha inamulika kama kilometer Moja hivi alafu anaitoa full light anawasha Kawaida, Hapo ataongeza mwendo kama mwendawazimu.
Chuma kinateleza Barabarani kama kwèñye barafu.

Tukifika kwèñye tuta(bumps) gari linapanda vaaapu! Kisha tunarushwa kutuu baàda ya Hapo lile tank la Nyuma linakuwa kama linataka kûja mbele lakini linagonga kichwa cha gari Hali inayofanya Sisi tupelekwe mbele.

Hapo utamsikia Yule dereva Mtu mzima akianza kumfokea Yule kijana àmbaye alikuwa anaendesha. Nikagundua kuwa kumbe NI mtu na Mtoto wake. Lakini zaidi ni kama anamfundisha Kazi.
Utasikia, nilikuambia ukiwa katika mwendo huo unagusa(anataja lugha za madereva hasa wa Lori) unaona unavyolifanya gari.

Hao! Hao! Hao! Dadeki! Roho mkononi. Yaani tunapishana na magari kama tupo kwèñye Game au kwèñye msafara wa Mad Max Fury road, AKA msafara wa Vibwengo.

Kûna Magari yaliokuwa yanakuja mbele yamewasha taa full light hali inayotufanya Sisi tusione mbele na ukizingatia tupo wanguwangu Hali inakuwa inatisha.
Kûna Muda huo almanusura tupige mzinga.
Tupo tunaitafuta Mikumi Saa sita hiyo.
Tambarare refu la kutosha, Barabara imenyooka. Mara kûna gari Aina ya fuso linakuja lipo full light wanguwangu, sijui dereva WA fuso alikuwa kasinzia au vipi, yupo katikati ya Barabara.
Dereva wetu anampigia Honi huku akibonyeza taa kumwekuamwekua ili atoe full light Yule dereva Akili nzito hajaelewa, ikatubidi Sisi ndîo tutoe gari yetu Tairi Moja nje ya Barabara kuepusha kuvaana uso Kwa uso na Fuso.

Hapo Taikon Moyo upo nje kifua kinapiga vibaya Mno.
Vuuuuupu! Tukapita Sasa gari Ipo kwèñye dhahama ya kuyumbayumba. Dadeki.
Hapo wakuita Yesu anaita, nikamsikia Yule Mwanamke akitokwa na neno la kitamaduni sijui lugha gàni ile sikuijua lakini nilielewa maneno ya namna Ile hutolewa sehemu za hatari Ambazo Mtu anaenda Kufa dakika chache zijazo.

Haohao, Lori linayumba linayumba! Linayumba! Hilo! Hilo! Hilo! Kishindo ngambaaaa! Hooo! Tumelivaa tuta(bumps ) tenà. No! No! No! Mbele kûna Daraja na Sisi tupo pembezoni, Matairi ya upande mmoja nje, Matairi ya upande Mwingine yapo ndàni ya Barabara, kama tukiendelea hivi inamaana tutaingia kwèñye Kile kimto.

Mbele kabisa kûna gari nayo ilikuwa inakuja. Dereva akakata Kona kuingiza gari Barabarani Daraja hili Hapa, tukaliparuza kidôgo gari bado inayumba yumba mbele yetu tunataka kuivaa gari ndogo iliyokuwa inakuja. Ile gari kuona vile ikakata upande àmbao siô wake na Sisi tukawa upande WA Ile gari ndogo tukapishana vuuup! Vumbi kama Lote maana Matairi ya upande mmoja yalikuwa upande WA nje ya Barabara.

Dereva akafanikiwa kulituliza gari. Ilikuwa dakika kama Moja unusu yenye songombingo Roho mkononi.

Hatukuweza kumlaumu dereva, kimya kilikuwa kingi hatukumbuki Redio ilijizima au ilizimwa.

Nilipofika Morogoro nikawaambia Mimi Acha niishie Hapa tuu. Saa nane hiyo.
Wakaniacha Morogoro nikawatakia safari Njema.

Nilishuka Kwa sababu licha ya tukio la Nyuma la kukoswakoswa kuanguka bado gari ilipotoka Mikumi ilikuwa Ipo wanguwangu. Nikaona aaanh! CHAKUFIA nini.

Huyo nikasubiri Bajaji ikanipeleka Kihonda, nilishukuru Sana.

Hiyo ndîo ilikuwa mara yàngu ya Kwanza kupanda Lori.
Je were Uliwahi kupanda Lori? Je mara yako ya Kwanza ilikuwaje?

Acha nipumzike sasa

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
Pole sana ila usafiri wa lori ni mzuri mara nyingine una changamoto sana.

Mengi yanatokea, kuna siku napanda makambako pale dereva alimuacha konda wake kama utani. Haya mabishano mabishano tu. Dereva akawasha chuma na kusepa.

Uzuri wa tank ni mwendo wa basi tu ukiwa unaenda dar maana zinakuwa tupu.

Haya machuma mengine muda wowote ule unalala njiani. Jamaa huwa hawana haraka. Dar moro mnaweza kulala.
 
Mkûu sikujua kama Malori ya Mafuta yanatembea kiasi Kile.

Utaniutani wanakasirikiana kwelikweli
 
nimecheka kama mazuri 🤣
jamhuri ya ukibwengoni kuna vitimbi sana
a48af83c75d45c6e0e9faa08ccf4f9a0.gif

Noma
 
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Dadeki! Haya Maisha bhana kûna mambo ukiyakumbuka unabaki kucheka tuu.

Bhana! Bhana! Kûna Dili nilikuwa nafukuzia Mbeya. Sasa Dili lenyewe likabuma, Pesa ya Guest Ikawa imeisha, Pesa ya nauli haitoshi kwani nilikuwa nimebakiwa na elfu ishirini na Saba na nauli ya Basi Wakati ule ilikuwa Kati ya elfu arobaini Mpaka hamsini ukilialia Sana basi elfu 35.
Sasa Mimi Nina elfu 27.

Nimekaa zangu maeneo ya Uyole, napiga hesabu zangu nafanyaje. Mfukoni elfu 27, kama nitaongeza Siku nyingine kulala Mbeya Pesa hiyo itapungua. Kwani kulipia Guest na Kula itaifanya bajeti yàngu hiyo ndogo kupungua na kubaki elfu 10.

Kichwa kinawaka, Jambo Moja àmbalo labda tuite ni Moja ya udhaifu wàngu NI kutopenda kutiatia huruma. Tàbia hiyo hunisaidia na Wakati mwingine huniumiza lakini sijawahi kuichukia Kwa sababu ndîo inanifanya niwe Mimi Halisi.

Nipigie ndugu, hapana. Nawaza Hapo.
Nipigie Marafiki, hapana, Nawaza bado.
Nipigie Mchumba, hapana, nakuna kichwa.
Nifanyeje?

Mara ghafla wazo la Kupanda Lori linabisha hodi.
Mimi nipande Lori? Najisikitikia Kwa kutingisha kichwa.

Nakuambia kwèñye Maisha yàngu sikuwahi kufikiria ati Siku Moja nitasafiri Kwa Magari ya Mizigo. Sikuwahi kufikiri hivyo. Siô kwamba kwetu tunamaisha Safi Nop!
Nimetoka kwèñye familia kama za Watanzania Wengine wengi.
Lakini mtazamo wàngu na maandalizi yàngu niliyokuwa nimejiandaa nayo tangu nikiwa mdogo nasoma isingekuwa rahisi siô kwangu tuu Bali hata wale walioona Makuzi yàngu kuwa ati Siku Moja nami ningepanda Lori na siô Kwa Pleasure Bali ni kutokana na kukosa Pesa.

Leo Mtibeli nimeishiwa Mbinu, nimeishiwa steps na kupigia ndugu, jamaa na marafiki sitaki.
Nikajifunza, kwèñye Maisha unaweza kupanga hivi Lakini Maisha yakakupeleka Vile. Hata hivyo Jambo Moja àmbalo Akili yàngu ilinikumbusha ni kuwa Flexible kuendana na mazîngira na Hali. Akili ñyiñgine ikaniambia Jambo lolote kwèñye Maisha àmbalo siô dhambi Wala siô uhalifu usione aibu kulifanya kama ndîo njia iliyobakia.
Huo ndîo unaitwa UNYENYEKEVU.

Ile Pride na kiburi ambacho nimekua nacho ulikuwa NI Muda wake ku- be neutralised, kutokomezwa na kuangamizwa. Muda wa kupata uzoefu mpya.
Nikajiambia mwenyewe nikimwambia Mungu Sawa Nimekuelewa.

Saa nane hiyo, nikaenda zangu MWANJELWA, pale Kwa Bahati nikakuta Lori la Mafuta limepaki linaelekea Dar. Nikawaambia nahitaji msaada wa kufika Dsm kupitia gari Yao. Wakaniambia Gari imejaa.

Sikuamini kuwa kumbe Usafiri wa Malori unagombaniwa kiasi Kile. Mimi sikuwahi kufikiri kabisa. Yaani Watu niliowakuta pale jinsi walivyokuwa wanaomba ungedhani wanaomba Pesa.
Yakaja Malori mawili pia nikakosa. Nikaona Hapa ushakuwa msala huu. Imefikia hatua nakosa Lori.
Saa tisa hiyo.

Hatimaye Saa tisa unusu nabahatika ndîo Sasa niliiita bahati kwani nilikuwa nashida zile dharau zilikuwa zimeniisha. Sikutaka Giza na Usiku unikute Mbeya. Nikapanda Lori la Mafuta lililokuwa linatokea Zambia.

Tulikuwa watano. Mbele alikuwa dereva na Tandiboy(msaidizi wake), huku Nyuma tulikuwa abiria Watatu, Mimi, Mwanaume mmoja na Mwanamke wa Makamo.

Nikatoa elfu 15. Yaani Kutoka Mbeya mpaka Dar elfu 15 nilifurahi Sana Ile ya kusema sikuzote nilikuwa Wapi, kwamba kumbe kûna Usafiri wa bei chee.
Kwa haraka haraka nikagundua wale Wengine walikuwa wazoefu wa Usafiri ule, huku Mimi pekeangu Siku hiyo ndîo Ikiwa mara yàngu ya Kwanza kupanda Lori.

Wenzangu wakawa wamenunua Vitu vya Kula, Mimi nisingeweza kununua licha ya kuwa nilikuwa nimebakiwa na elfu 12. Kule Dar sikuwa na akiba yoyote, zaidi pale nilipokuwa nimepanga Simu zilikuwa zinaita kunikumbusha Pesa ya Bill ya umeme.
Hivyo hiyo elfu 12 hata kama nisingeitoa kwèñye bills ya umeme Basi ningeitumia nikifika Dar huku nikitafuta mchongo.

Chuma ikatia Gia. Lori Jeupe, lenye tank tupu la Mafuta, Nyuma Likiwa limeandikwa inflammable ikanikumbusha Chemistry ya kidato cha pili, Flammable na inflammables lakini kwangu haikuwa na maana yoyote. Ubavuni mwa tanki likisomeka Jina la Kampuni na Aina za mzigo unaobebwa àmbao ni Petroleum. Lilikuwa gari jipyajipya hivi Kwa mwonekano wa harakaharaka.

Nilijihisi comfortable na safari Ile kutokana na mwendo wa gari kuwa wa kiheshima uliozingatia heshima na Sheria zote za Barabarani na watumiaji wa Barabara.

Dereva alikuwa Mwanaume mmoja mwenye Umri wa Makamo Kati ya Miaka 48 mpaka 55 hivi huku msaidizi wake akiwa kijana wa Miaka 35 mpaka 40 hivi.
Walikuwa wakipiga Stori zào za Hapa na pale huku redio ikiendelea kuchombeza Kwa Muziki na uchambuzi wa Mpira.
Kûna Wakati dereva na Tandiboy walijiunga na uchambuzi wa redioni kujadili Mpira huku wakigombana na wachambuzi mara kûna Wakati wanabishana waô Kwa waô. Nikajua dereva alikuwa Mshabiki wa Simba huku Tandiboy akiwa Mshabiki wa Yanga.

Sasa shida ya kûna Wakati wanataka tag, kuungwa Mkono hasa dereva àmbaye kûna Wakati anatuuliza maswali Sisi abiria tuliokuwa Nyuma. Sisi tunaitikia tuu kumridhisha Kwa sababu ya Umri wake lakini pia yeye ndiye boss pale lakini pia Tandiboy alikuwa anamzidi kwèñye kuongea Mpaka akawa anamkera.

Kwa jinsi alivyokuwa anamkera Mimi nilichokuwa nahofia ni usalama wa safari yetu maana siô Kwa mabishano Yale. Yalikuwa mabishano Makali ungesema watapigana, mara kutukanana mara hivi mara vile.
Kama NI Amri yàngu ningewaambia wakae kimya Kisha watuendeshe, lakini nikikumbuka nimetoa elfu 15 tuu tenà Kwa kulialia nakosa huo ujasiri. Ningekuwa na Pesa Wala nisingewaogopa Mimi. Ningewachana Mimi, wangenitambua Mimi. Yaani niwape Pesa alafu wanipigie kelele Mimi.
Nisingeogopa kushushwa wala nini. Pesa Ipo bhana! Naogopa nini.

Hao Saa nne tunaingia Iringa Mjini. Giza kama Lote.
Gari inasimama Kisha tunaambiwa tutapumzika dakika Kumi hivi,
Nikashuka kwèñye gari nikaenda Kujisaidia haja ndogo Kisha nikachukua Mhindi wa Miatano, biscuits ya Buku na Maji. Huyo ndàni ya gari sikutaka kukaa Sana nje kwani kulikuwa na baridi Sana.

Dakika Kumi ziliisha safari ikaendelea, tulipofika ILULA gari ikasimama tenà, Hapo Dereva na Tandiboy wakabadilishana Siti zào. Sasa Tandiboy yani Yule kijana ndiye aliyekuwa Dereva, na Yule Mzee WA makamu akiwa Sasa ndiye Tandiboy.

Chuma ikaanza tenà, Watu wôte kimya, redio na mngurumo wa gari ndivyo vilivyokuwa vikipokezana.

Yule Mzee akawa anakula mara anabadilisha Meterband sijui frequency za redio, mara inaongea redio hii anatoa, mara inaimba hii anatoa, mara sauti ya fyaaaa fyuuu kutokana na redio kukosa FM inayoongea lakini hakati tamaa anaendelea kutafuta. Mpaka alipokuta FM inayoimba Nyimbo za Kikongo akaacha Hapo Kisha wakawa wanaendelea kuzungumza lakini mara hii na mazungumzo ya kushtukiza siô Yale ya mara Kwa mara.

Wenzangu wawili huku Nyuma walikuwa wamelala. Mimi nami nikasema Acha nijaribu Kulala, lakini nilishindwa.

Yule kijana alianza kuendesha lile gari Kwa namna àmbayo sikuielewa, namna iliyowafanya mpaka wale waliokuwa wamelala waamke.

Mlima Kitonga huu Hapa, tuliupita kama mzaha Fulani hivi. Jamaa aliufagi kama kinyozi anayefagia Nywele CHINI ya sakafu.

Sikuwahi kujua kumbe Malori yanakimbia namna Ile. Jàmani jàmani!

Jamaa anawasha taa full light Kisha inamulika kama kilometer Moja hivi alafu anaitoa full light anawasha Kawaida, Hapo ataongeza mwendo kama mwendawazimu.
Chuma kinateleza Barabarani kama kwèñye barafu.

Tukifika kwèñye tuta(bumps) gari linapanda vaaapu! Kisha tunarushwa kutuu baàda ya Hapo lile tank la Nyuma linakuwa kama linataka kûja mbele lakini linagonga kichwa cha gari Hali inayofanya Sisi tupelekwe mbele.

Hapo utamsikia Yule dereva Mtu mzima akianza kumfokea Yule kijana àmbaye alikuwa anaendesha. Nikagundua kuwa kumbe NI mtu na Mtoto wake. Lakini zaidi ni kama anamfundisha Kazi.
Utasikia, nilikuambia ukiwa katika mwendo huo unagusa(anataja lugha za madereva hasa wa Lori) unaona unavyolifanya gari.

Hao! Hao! Hao! Dadeki! Roho mkononi. Yaani tunapishana na magari kama tupo kwèñye Game au kwèñye msafara wa Mad Max Fury road, AKA msafara wa Vibwengo.

Kûna Magari yaliokuwa yanakuja mbele yamewasha taa full light hali inayotufanya Sisi tusione mbele na ukizingatia tupo wanguwangu Hali inakuwa inatisha.
Kûna Muda huo almanusura tupige mzinga.
Tupo tunaitafuta Mikumi Saa sita hiyo.
Tambarare refu la kutosha, Barabara imenyooka. Mara kûna gari Aina ya fuso linakuja lipo full light wanguwangu, sijui dereva WA fuso alikuwa kasinzia au vipi, yupo katikati ya Barabara.
Dereva wetu anampigia Honi huku akibonyeza taa kumwekuamwekua ili atoe full light Yule dereva Akili nzito hajaelewa, ikatubidi Sisi ndîo tutoe gari yetu Tairi Moja nje ya Barabara kuepusha kuvaana uso Kwa uso na Fuso.

Hapo Taikon Moyo upo nje kifua kinapiga vibaya Mno.
Vuuuuupu! Tukapita Sasa gari Ipo kwèñye dhahama ya kuyumbayumba. Dadeki.
Hapo wakuita Yesu anaita, nikamsikia Yule Mwanamke akitokwa na neno la kitamaduni sijui lugha gàni ile sikuijua lakini nilielewa maneno ya namna Ile hutolewa sehemu za hatari Ambazo Mtu anaenda Kufa dakika chache zijazo.

Haohao, Lori linayumba linayumba! Linayumba! Hilo! Hilo! Hilo! Kishindo ngambaaaa! Hooo! Tumelivaa tuta(bumps) tenà. Hapana! Hapana! Hapana! Mbele kûna Daraja na Sisi tupo pembezoni, Matairi ya upande mmoja nje, Matairi ya upande wa Mwingine yapo ndàni ya Barabara, kama tukiendelea hivi inamaana tutaingia kwèñye Kile kimto.

Mbele kabisa kûna gari nayo inakuja. Dereva akakata Ko garina kuingiza gari Barabarani Daraja hili Hapa, tukaliparuza kidôgo bado inayumba mbele yetu tunataka kuivaa ndogo iliyokuwa inakuja. Ile gari kuona vile ikakata upande àmbao siô wake na Sisi tukawa upande WA Ile gari ndogo tukapishana vuuup! Vumbi kama Lote maana Matairi ya upande mmoja yalikua upande WA nje ya Barabara.

Dereva akafanikiwa kulituliza gari. Ilikuwa dakika kama Moja unusu yenye songombingo Roho mkononi.

Hatukuweza kumlaumu dereva, kimya kingi hatukumbuki Redio ilijizima au ilizimwa.

Nilipofika Morogoro nikawaambia Mimi Acha niishie Hapa tuu. Saa nane hiyo.
Wakaniacha Morogoro nikawatakia safari Njema.

Nilishuka Kwa sababu ya tukio la Nyuma la kukoswa zamani gari lilipotoka Mikumi ilikua Ipo wanguwangu. Nikaona aaanh! CHAKUFIA nini.

Huyo nikasubiri Bajaji ikanipeleka Kihonda, nilishukuru Sana.

Hiyo ndîo ilikuwa mara yàngu ya Kwanza kupanda Lori.
Je walikuwa Uliwahi kupanda Lori? Je mara yako ya Kwanza ilikuaje?

Acha nipumzike sasa

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
Maisha yaache yalivyo.
Yakiamua kukufundisha hata usipotaka utafunzwa tu.
Pole sana Mkuu
 
Sijui kama ungekuwa mtwara huku njia ya kusini ungependa malori maana dangote kila siku lazima aangushe gari...me huwa napanda sana special haulers za makaa ya mawe
 
Nimecheka sana, sasa ungepanda pikipiki BMW 1200/1250/1600na ukamkuta rider mwenye kifua, si ungejinyea?
 
Hizo safari kama safari ya kuzimu.

Kûna Moja nilikuwa natoka Vatican maeneo ya Kibati, Turiani Morogoro. Usiku kucha tukiwa tumebeba MAITI. Noma Sana
Kuna moja mimi ndiyo niliiona ya Kingese sana. Mida saa 4 usiku, usafiri bilabila, na utamaduni wangu nikishaaga sirudi wala silali nipo tayari nitembee kwa mguu angalau kilimeta 25 nikapale mji unaofuata lakini si kubaki sababu eti nimekosa usafiri.

Imefika saa 4 usiku Scania hiyo imesimama, pale iliposimama kulikuwa na abiria kadhaa ambao walishaanza kukata tamaa na wengine kwenda kutafuta vyumba karibu.

Mimi nikawa nimejipa dakika 40 za kusubiri kabla sijaanza kutembea kwa miguu ili kusogea mdogomdogo.

Iliposimama tu, abiria tukawa watatu, mimi, jamaa fulani tuliyekuja kujus kuwa ni mwalimu, na dada mmoja mweupe mwenye muonekano wa Kinyarwanda halafu usafiri mbovu (yaani matege ya nyuma na ndani, ila yanamfanya avutie kichizi). Huyo Mwalimu muda huo tayari alikuwa na wenzake wengi sana kichwani (yaani alikuwa amelewa sana)

Tukapanda Scania, safari ikaanza huku yule mwakimu na wenzake alii nao kichwani wakitupigia makelele, uzuri hakuwa anaenda mbali maana aendapo ilikuwa ni kama Km 18 kutoka tulipopandia, lakini akashindwa kupatambua anaposhukia. Nikamstua dereva kwamba sipajui anapoenda yule jamaa ila kwa pale tulipofika nina uhakika tumeshapatita kwa km 15 zaidi.

Yule jamaa anazidi kupoteza network ikabidi nimeambie dereva asimame kijiji hicho tulipo, nikashuka na yule Sokomoko,(Mlevi), dereva akataka tumshushe kisha tusepe nikasema hapana, maada tumejua ni Mwalimu, ngoja nimkabidhi kwa watu, maana lolote linaweza kumpata usiku huo halafu nikajikuta nabaki na hatia wakati nilikuwa kwenye nafasi ya kuweza kufanya jambo kuzuia maafa.

Muda huo vijijini watu wameshalala, nikaona kwa mbali kama kuna kiduka au kijiwe sugu kina wazee wa wawili na bodaboda mmoja wanasogoa, nikawasalimia , nikawaelezea na kumkabidhi yule, wale Wajamaa wakanishukuru nikawashukuru nikarudi kuendelea na safari.

Kama ujuavyo, automatiki jamaa ndiye akawa story mule kwenye gari. Huku dereva na yule dada wakinishangaa sana pia kunipongeza kwamba ni kati ya binaadam wachache (hilo hata mimi nalijua, kama hutaki unaacha).

Basi ikawa wakinipakulia minyama mimi nikawa naziua, yule dada nikaona analeta ucheshi ila bahati mbaya I'm not good at ucheshi, nje ya hizi simu na vi emoj ni heri ukaishi na dubu au nyati au hata mamba kwenye maji wanawaeza wakakupa smiling faces lakini siyo mimi.

Kwenye cabin ya ile gari kuna jamaa alikuwa amelala, ni mwenzake na dereva. Safari ikaendelea demu alipoona sina story akageukia kwa dereva, wakapigapiga story mara akataka kumfahamu yule mwenzake na dereva maana alikuwa ameshaamka.

Story za hapa na pale, lisaa limoja lililofuata wakawa wanaongea wenyewe, dem akadai amechoka anahisi kusinzia, jamaa akamwita kwenye cabin, dem akahamia nyuma.

Wakati dem anahamia kwenye cabin nyuma akaniomba nimuwekee simu yake pale nilipokaa, muda wote tangu tukiwa pale chini nilisahau au sikuzingatia kumuangalia chini ya kiuno upande wa mgongoni. Wakati huu anahamia nyuma ndiyo kwa bahati mbaya nikajikuta nimemuangalia maeneo ya nyuma, aisee, palikuwa pamevimba vizuri halafu laini mithili ya nundu ya ng'ombe wa kienyeji, yeah, ni lazima nisifie, nina moyo hai mimi siyo toy. Ni vile sema sisi wengine siyo mafundi Beatle.

Tangu bint amehamia nyuma dakika 5 mbele nikaanza kusikia watu wananong'ona, dakika mbili zilizofuata nikasikia purukushani za watu wakigeuzana sijui, mara nikasikia kama nguo zinalazimishwa kutoka mwilini, nilipoanza kusikia miguno nikakumbuka nina earphones. Kuanzia hapo sikuhusika na yaliyoendelea (ila nina uhakika pale lazima lilifanyika kosa kama la marehemu) isipokuwa simu ya yule dada ilikuwa ikiita mara kwa mara na mpigaji alikuwa ameseviwa kama "Don Dodoma".

Walipomaliza kutenda Sambi Syao , yule dada akarudi kukaa mbele na kutaka kujichangamsha (Kumbafu zake, atiwe huko halafu anisemeshe-semeshe mimi?). Baadaye "Don Dodoma" akapiga simu, yule dada akapokea, jamaa akauliza vipi mbona nimepiga simu muda mrefu haupokea, dem akajibu kuwa alikuwa amelala ila baada ya masaa matatu atakuwa ameshafika. Kumbuka tulitoka saa 4 usiku, na muda huo ni kama saa saa 7 hivi usiku. Jama akamtakia dem safari njema (asijue muda wote alipokuwa akipiga simu lakini haipokelewi, demu alikuwa yupo kuliwa kimasikhara).

Usiku kwa usiku, safari ikaendelea, gari ikafika mkoa ambao mimi nashuka na dem kumbe anashuka pale gari inabidi ielekee mkoa mwingine na mimi naelekea mkoa mwingine ila dem akawa ameshafika, hiyo tayari ni saa 9 inaenda 10 ya Manane. Namuangalia demu anahangaika kufungua pochi yake, akavuta vazi jeusi akajitanda mwilini, kichwani akajifunika ile kizanzibari tayari amekamilika, mimi namalizia kushusha begi langu la mgongoni simu ya dem ikaanza kuita tena na mpigaji ni yuleyule Don Dodoma.

This time dem hakupokea akasikea na kusimama kwenye barabara ya waenda kwa miguu, pembeni ikasogea gari, akashuka jamaa (Don -Dodoma) . Yes ndiye huyu hakulala usiku mzima akimsubiri mpenzi wake na sasa amekuja kumpokea.

Nikadhani ile ilikuwa ni bahati mbaya tu, safari 3 zilizofuata kwa mtiririko usiofuatana nikashuhdia hayahaya, wakati mwingine mnajikuta mnalinda gari huku dereva na abiria mwenzenu wameenda kufanya matusi...kwa kifupi ni Usafiri Kafiri.
 
Back
Top Bottom