Siku ya kwanza niliponunua gari


Unanunua gari wakati uko nyumba ya kupanga
 
Umeweka chumvi nyingi sana kwenye story yako but story ni nzuri.

Wakati gari limezima kwa sababu ya betri, uliwezaje kulipeleka kwa Mwarabu akalitengeneza ukarudi nalo nyumbani?

oya mkuu vp ww mkaushie bana mpaka kila mtu ajue kuwa katudanganya na ni story just for fun?
 
Hahahaaa u make ma day!!!Acheni tu ushamba mzigo jamani.Kiukweli mi nimenunua gari kwa kukurupuka tu najuta.Maana nilikuwa natafutiza tu safari tusitokuwa na kichwa wala miguu nimeendesha mwezi mmoja tu gari yenyewe gx 100 gharama ya mafuta ndani ya huo mwezi yalizidi kipato changu sasa hv nimeipaki tu naendesha nikiwa na shughli maalum tu
 
Vp ulipokuwa unakutana na gari linalofanana na lako...
 
Dah we ulizidi mwenZio niliona kama mzigo hivi hasa pale nilipo lazwa polin kisa wese kuisha kurudi hom nilitamani wa kumuachia hayupo baada ya wiki nikauza kununua baja ccm hoyeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…